Taswa

Taswa

mabina

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
228
Reaction score
39
Nawashkruni sana Taswa kwa kitendo cha kuwapa vyeti wanamichezo waliofanya vizuri/ waliozaidia timu zao kufanya vizuri.

Jana mimi ni mmoja kati ya wale tuliokuwa tunafuatilia sherehe hizo kupitia luninga(TV). Namshukuru mwenyekiti wa kamati kwa kuomba msamaha na ushauri kwa pale walipokosea.

USHAURI WANGU

Jinsi ya kumtangaza mshindi.
Mara kadhaa nilikuwa naona mshiriki atakae tajwa mara ya kwanza kati ya washiriki wenza yeye ndo mshindi ilifika hatua hata hamu ya kutazama ikaisha kwani ukisikia tu jina la kwani kati ya waliochaguliwa katika tuzo hiyo ujue ndo mshindi, hiyo hali sio nzuri inabidi mrekebishe hapo mchanganye majina, mfanao mzuri kwenye mshindi wa mwanamchezo bora wa soka(mpria wa miguu) wanaume hapo ndo mlifanya inavyotakiwa kwani mtangazaji alianza na jina la Mrisho Ngasa, mshidndi akawa Nsajigwa ambaye katika screen jina lake lilikuwa ni latatu.
Kwahiyo naomba tubadilike kuhusu kuyapanga majina kwa yule aliyeshinda, sio wote muwaorodheshe no.moja.

HONGERENI TASWA, HONGERENI ITV
 
Back
Top Bottom