Tasnifu za njano5: KKKT, Lowassa, Gwajima na urais wa nchi yetu

Hizi tabia za kuvamia Uzi kwa matusi bila kujibu hoja walikuwa nazo CCM tukiwabana humu ....siku hizi tunatia aibu tu kwa kukomenti kimipasho kama enzi za Msalani akiwa CCM ......kateni issue kama zamani ....hili ndio tatizo la kukengeuka ulimi ....Wahaya wana msemo "mwanaume hugeuka kitandani si ulimi"

Mhaba yaliyonyang'anya Haki ya kushiriki siasa
Cc;
Dakitari sikalaaa MTAZAMO idawa
Cheza mtoto wa kihaya ww
 
Last edited by a moderator:
wakuu nilifikiri mngejibu hoja zilizoletwa humu. naona mipasho tu. nawakumbusha mrudi tena mjibu hoja kwa hoja. tafadhali msisahau kuisoma hiyo thread yote ukiachilia mbali hayo mashahiri yake.

Unakalia mti unaukata kweli?
Huu ni wehu sisi tumeamua hivyo Lowasa kwanza
 
tasnifu za njano5:kkkt, lowassa, gwajima na urais wa nchi yetu.

kitambo! Nimewakumbuka!

Lowassa ana mawazo ya kipumbavu! Hivyo basi ni mpumbavu! Wafuasi wake ni wapumbavu, tena ni mambumbu! Heri wangekuwa wajinga tungeweza kuwasaidia, midhali ni wapumbavu lazima tuwakemee ili waache upumbavu wao, sababu sifa ya kubwa ya mpumbavu ni kutoelewa kwa makusudi jambo analoelezwa. Tungeweza kuwaacha, sababu hawa watu wana uzito wa makusudi, lakini kwa maslahi mapana ya nchi lazima tuwaseme na tuwalaani kwa nguvu zetu zote.

Huenda ikawa lugha kali lakini si matusi, sababu mbunge wa chadema joseph mbilinyi alilitumia pia bungeni na wengi wetu tuliona si tusi baada ya kusoma maana ya neno hilo katika kamusi ya tuki, neno mpumbavu kama lilivyo tafasiriwa na kamusi ya tuki, mpumbavu ni mtu anayeshindwa kuelewa jambo hata kama akielezwa; na imethibiti ili mtu awe mpumbavu ni lazima kutoelewa kwake kuwe kwa makusudi, hususani makusudi yanayoongozwa na maslahi yake binafsi!

Lowassa amekulia na kuzeekea ndani ya ccm, amepata mafunzo ya uongozi na siasa mojakwamoja toka kwa mwalimu nyerere. Sisi wengine tunasoma katika vitabu na kuona katika video jinsi mwalimu alivyochukizwa na ukabila pamoja na udini, lakini lowassa haya anayajua sababu amefanya kazi chini ya mwalimu, kwa hivyo yeye ndio anajua zaidi hili kuliko hata sisi tunaomsoma mwalimu katika vitabu na kumuona katika video.

Lowassa anajua madhara ya kuchagua rais sababu ya kabila lake au dini yake, bila hata kufundishwa na nyerere, kama wanadamu inatupasa tujue dini na kabila si kigezo cha kupata rais wa nchi yetu. Lowassa ni mpumbavu sababu hili analijua lakini bado analifanya.

Sasa waislamu wanaanza kuhoji ushiriki wa lowassa bila kusita katika mkataba mou mkataba ambao hata sasa waislamu wanadhani unatoa upendeleo kwa taasisi za kikristo, huku taasisi za kiislamu zikitengwa katika mkataba huo. Kwa video hii, ngozi halisi ya lowassa imejulikana, ile zunguka yake katika misikiti ilikuwa na lengo la kutupatia rais mlutheri na si vinginevyo, kweli huyu mzee ni mpumbavu sana!

Nasikitika kuona baadhi ya wenzetu wakimuunga mkono huyu mpumabavu, hawa wenzetu wanaomuunga mkono huyu mtu ni mambumbu kabisa! Werevu wakinyamaza huu upumbavu utamalaki na ukitamalaki tutapata rais mpumbavu mwenye kutuhudumia kwa kuzingatia dini zetu.

Tutafakari na tujiongoze, hivi pana nini nyuma ya pazia za harakati za lowassa kwenda ikulu? Huenda nyuma ya pazia kuna harakati za udini, hebu tutafute mazingatio ya ushiriki wa mchungaji gwajima katika kuhakikisha lowassa anakuwa mgombea wa ukawa, lakini pia tutafute mazingatio ya sababu ilomfanya sumaye atoke ccm na kwenda kujiunga na ukawa. Tukumbuke sumaye alisema kuwa, kama ccm ingempitisha lowassa angejiondoa ccm. Lowassa amekatwa ccm, na sasa yuko ukawa, sumaye naye yupo ukawa, swali, sumaye kafuata nini ukawa?

Urais? Hapana sababu tayari ukawa ilishapata mgombea
uwaziri mkuu? Hapana sababu sumaye hagombei ubunge
kuleta mabadiliko mazuri? Hapana sababu kwa muda mrefu sumaye anapinga ufisadi, na mgombea wa ukawa ni kielelezo cha ufisadi, hivyo si muumini wa mabadiliko mazuri chini ya lowassa.

Sasa sumaye kafuata nini ukawa? Kwa vyovyote vile huenda hajamfuata lowassa fisadi bali kamfuata lowassa mlutheri, hivyo hizi si njama za kutupatia rais mlutheri? Hivi ni lowassa ndio analitumia kanisa au ni kanisa ndio linalomtumia lowassa? Kama kanisa ndio linalomtumia lowassa, na huku nikizingatia sababu dhaifu alizozitoa sumaye wakati akijiunga na ukawa, hivi nitakosea nikidhani kuwa sumaye mlutheri kaamrishwa na kanisa kuongeza nguvu ukawa? Pia nitakosea kudhani kuwa fedha anazozimwaga lowassa zinatoka pia kkkt?

Katika kuhakikisha rais mlutheri anapatikana, lowassa amefanya juu chini kuhakikisha anaungwa mkono na dini zingine na madhehebu mengine ya kikristo. Hapa ndipo unapoonekana ushiriki wa mchungaji gwajima na rushwa ilotembezwa kwa viongozi wa kanisa katoliki(kama kweli). Kinachofanya kengere kulia zaidi ni ukimya wa makanisa yote hususani ya kilutheri juu ya kadhia hii, kwa vyovyote vile tulitaraji viongozi wa kanisa kumkemea na kumuonya lowassa, kunyamaza kwao kimya kunatufanya tudhani kuwa kanisa linashiriki katika mchezo huu mchafu. Ni mwiko kabisa japo kwa kudhania kuwa kanisa au msikiti unashiriki katika kuweka ama kutoa rais madarakani katika nchi kama yetu.

Kama lowassa analitumia kanisa, huenda viongozi wa kilutheri wamemuelewa na wamemkubali lowassa kama mlutheri mwenzao bila kigegezi chochote, na ndio maana dr slaa hakusema kuwa maaskofu waliohongwa ni wa kilutheri, hivi kuna haja ya kumuhonga mtu anayekubali kufa kwaajili yako ili afanye unachokitaka? Hakuna haja! Huhitaji kumuhonga zaidi ya kumbwambia nini anatakiwa kufanya katika kufanikisha malengo yako. Maaskofu wa kilutheri hawajahongwa sababu huenda ni moja kati ya watu wanaotumika na lowassa kutuletea rais mlutheri(mwenzao).

Katika kuongeza nguvu yao, tukaona pitapita ya lowassa katika misikiti, lakini kubwa tukashuhudia kufichuka kwa habari ya kuhongwa maaskofu wa kikatoliki(rejea kauli ya dr slaa). Kwa vyovyote vile waliamini ili askofu wa kikatoliki amkubali lowassa lazima ahongwe, na ndio maana wakawahonga.

Huenda pia viongozi wa chadema wamehongwa kama inavyodhaniwa kuhongwa kwa maaskofu wa katoliki, sababu haingii akilini hata kidogo mbowe, mnyika, na lissu waimbe “tuna imani lowassa” mtu ambaye wamemtaja katika orodha ya mafisidi, na wameendelea kumuandama kwa miaka nane mfululizo. Chadema imenunuliwa? Kama chadema imenunuliwa, kainunua nani? Lowassa au kanisa? Jibu hapa litategemea, kati ya kanisa na lowassa nani anamtumia mwenzake. Vyovyote iwavyo, huenda lowassa kajiunga chadema ili kutuletea rais mlutheri.

Leo hii zile tuhuma zote za ufisadi wa lowassa zimekufa, gazeti la mawio na kubenea wamebadilika, baadhi ya wachungaji na wanasiasa wanataka lowassa aende ikulu si kwasababu ni msafi au mwadilifu, sababu kubwa aidha ni fedha zake au ulutheri wake. Tukihoji usafi wake twaambiwa tuzibe midomo au tupeleke ushahidi mahakamani, lakini hivi kwa miaka yote nane mbowe na genge lake hawakujua kama kuna mahakama? Hivi ni nini kama si fedha inayowafanya watoe utetezi mwepesi kabisa kwa tuhuma zinazo mkabili lowassa? Hivi kwa mfano mtu anapelekaje ushahidi mahakamani bila kuwa na kesi? Na hivi hiyo kesi ya jinai mfungaji ni nani?

Nasisitiza tu, naomba isiwe kweli na ninaogopa japo kudhani kuwa moja ya chanzo cha fedha hizi anazozimwaga lowassa katika mashule, misikitini, na katika maeneo mbalimbali zinatoka kkkt.

Watanzania tumkatae lowassa si kwasababu ya ulutheri wake, hapana, bali tumkatae lowassa sababu ya siasa zake za udini, siasa ambazo zitaivunja nchi yetu ya amani, huyu mtu ni hatari sana kuliko hata ebola. Tumseme na tumpinge kwa nguvu zetu zote, wale walohadaika kwa hili tufanye hima tuwazindue hata wajue kuwa lowassa hafai!

Tulimkemea lipumba kwa siasa za msikitini na mlituunga mkono, tunaomba na sasa pia mtuunge mkono dhidi ya lowassa, haijalishi wewe mwanachadema, au ccm, au act, au huna chama, hii ni nchi yetu na ni lazima tupambane na udini..

Hodi hodi uwanjani,
mlo kando sogeeni,
walo mbali pigieni,
barua watumieni.

Nyote mje uwanjani,
na kalamu mkononi,
karatasi zishikeni,
nisemayo andikeni.

Nataka niwafundeni,
si yale ya unyagoni,
mjue nawagungeni,
nawaomba pulikeni.

Kubwa jihamasisheni,
kwa wingi jitokezeni,
kura jiandikisheni,
hilo lizingatieni.

Kura silaha makini,
kwa kiongozi jununi,
tuwachinje shingoni,
mwezi wa kumi jamani.

Hawaishi kwa amani,
wenye kufanya udini,
ukabila ni tufani,
kimbunga kiso kifani,

popote ulimwenguni,
naomba tafuteni,
alafu nitajieni,
aso na damu mwilini.

Watu toka visiwani,
na hata wa kusini,
waishio kaskazini,
wana damu mishipani.

Popote ulimwenguni,
mwenye kwenda kanisani,
biblia yake kwapani,
ana damu mishipani,

damu yake ya mwilini,
yule wa msikitini,
ina tafauti gani?
Na ya mwenda kanisani?

Yuko na damu mwilini,
mhindu na mpagani,
hata asiye na dini,
ana damu mishipani.

Hino damu ya thamani,
tunu toka kwa manani,
mwiko kuimwaga chini,
kwa sababu za kihuni,

njano5.
0784845394

aisee unahabari kwamba wasomaji wa huu uzi tuna mashaka na wewe kuwa na akili za kuhitaji kuwa wodini milembe!!
 
Last edited by a moderator:
TASNIFU ZA NJANO5:KKKT, LOWASSA, GWAJIMA NA URAIS WA NCHI YETU.

Kitambo! Nimewakumbuka!

Lowassa ana mawazo ya kipumbavu! Hivyo basi ni mpumbavu! Wafuasi wake ni wapumbavu, tena ni mambumbu! Heri wangekuwa wajinga tungeweza kuwasaidia, midhali ni wapumbavu lazima tuwakemee ili waache upumbavu wao, sababu sifa ya kubwa ya mpumbavu ni kutoelewa kwa makusudi jambo analoelezwa. Tungeweza kuwaacha, sababu hawa watu wana uzito wa makusudi, lakini kwa maslahi mapana ya nchi lazima tuwaseme na tuwalaani kwa nguvu zetu zote.

Huenda ikawa lugha kali lakini si matusi, sababu mbunge wa CHADEMA Joseph Mbilinyi alilitumia pia bungeni na wengi wetu tuliona si tusi baada ya kusoma maana ya neno hilo katika kamusi ya TUKI, neno mpumbavu kama lilivyo tafasiriwa na kamusi ya TUKI, mpumbavu ni mtu anayeshindwa kuelewa jambo hata kama akielezwa; na imethibiti ili mtu awe mpumbavu ni lazima kutoelewa kwake kuwe kwa makusudi, hususani makusudi yanayoongozwa na maslahi yake binafsi!

Lowassa amekulia na kuzeekea ndani ya CCM, amepata mafunzo ya uongozi na siasa mojakwamoja toka kwa Mwalimu Nyerere. Sisi wengine tunasoma katika vitabu na kuona katika video jinsi Mwalimu alivyochukizwa na ukabila pamoja na udini, lakini Lowassa haya anayajua sababu amefanya kazi chini ya Mwalimu, kwa hivyo yeye ndio anajua zaidi hili kuliko hata sisi tunaomsoma Mwalimu katika vitabu na kumuona katika video.

Lowassa anajua madhara ya kuchagua rais sababu ya kabila lake au dini yake, bila hata kufundishwa na Nyerere, kama wanadamu inatupasa tujue dini na kabila si kigezo cha kupata rais wa nchi yetu. Lowassa ni mpumbavu sababu hili analijua lakini bado analifanya.

Sasa waislamu wanaanza kuhoji ushiriki wa Lowassa bila kusita katika mkataba MOU mkataba ambao hata sasa waislamu wanadhani unatoa upendeleo kwa taasisi za kikristo, huku taasisi za kiislamu zikitengwa katika mkataba huo. Kwa video hii, ngozi halisi ya Lowassa imejulikana, ile zunguka yake katika misikiti ilikuwa na lengo la kutupatia rais mlutheri na si vinginevyo, kweli huyu mzee ni mpumbavu sana!

Nasikitika kuona baadhi ya wenzetu wakimuunga mkono huyu mpumabavu, hawa wenzetu wanaomuunga mkono huyu mtu ni mambumbu kabisa! Werevu wakinyamaza huu upumbavu utamalaki na ukitamalaki tutapata rais mpumbavu mwenye kutuhudumia kwa kuzingatia dini zetu.

Tutafakari na tujiongoze, hivi pana nini nyuma ya pazia za harakati za Lowassa kwenda Ikulu? Huenda nyuma ya pazia kuna harakati za udini, hebu tutafute mazingatio ya ushiriki wa Mchungaji Gwajima katika kuhakikisha Lowassa anakuwa mgombea wa UKAWA, lakini pia tutafute mazingatio ya sababu ilomfanya Sumaye atoke CCM na kwenda kujiunga na UKAWA. Tukumbuke Sumaye alisema kuwa, kama CCM ingempitisha Lowassa angejiondoa CCM. Lowassa amekatwa CCM, na sasa yuko UKAWA, Sumaye naye yupo UKAWA, swali, Sumaye kafuata nini UKAWA?

Urais? Hapana sababu tayari UKAWA ilishapata mgombea
Uwaziri mkuu? Hapana sababu Sumaye hagombei ubunge
Kuleta mabadiliko mazuri? Hapana sababu kwa muda mrefu Sumaye anapinga ufisadi, na mgombea wa UKAWA ni kielelezo cha ufisadi, hivyo si muumini wa mabadiliko mazuri chini ya Lowassa.

Sasa Sumaye kafuata nini UKAWA? Kwa vyovyote vile huenda hajamfuata Lowassa fisadi bali kamfuata Lowassa Mlutheri, hivyo hizi si njama za kutupatia rais mlutheri? Hivi ni Lowassa ndio analitumia kanisa au ni kanisa ndio linalomtumia Lowassa? Kama Kanisa ndio linalomtumia Lowassa, na huku nikizingatia sababu dhaifu alizozitoa Sumaye wakati akijiunga na UKAWA, hivi nitakosea nikidhani kuwa Sumaye mlutheri kaamrishwa na kanisa kuongeza nguvu UKAWA? Pia nitakosea kudhani kuwa fedha anazozimwaga Lowassa zinatoka pia KKKT?

Katika kuhakikisha rais mlutheri anapatikana, Lowassa amefanya juu chini kuhakikisha anaungwa mkono na dini zingine na madhehebu mengine ya kikristo. Hapa ndipo unapoonekana ushiriki wa Mchungaji Gwajima na rushwa ilotembezwa kwa viongozi wa kanisa katoliki(kama kweli). Kinachofanya kengere kulia zaidi ni ukimya wa makanisa yote hususani ya Kilutheri juu ya kadhia hii, kwa vyovyote vile tulitaraji viongozi wa kanisa kumkemea na kumuonya Lowassa, kunyamaza kwao kimya kunatufanya tudhani kuwa kanisa linashiriki katika mchezo huu mchafu. Ni mwiko kabisa japo kwa kudhania kuwa kanisa au msikiti unashiriki katika kuweka ama kutoa rais madarakani katika nchi kama yetu.

Kama Lowassa analitumia kanisa, huenda viongozi wa Kilutheri wamemuelewa na wamemkubali Lowassa kama mlutheri mwenzao bila kigegezi chochote, na ndio maana Dr Slaa hakusema kuwa maaskofu waliohongwa ni wa Kilutheri, hivi kuna haja ya kumuhonga mtu anayekubali kufa kwaajili yako ili afanye unachokitaka? Hakuna haja! Huhitaji kumuhonga zaidi ya kumbwambia nini anatakiwa kufanya katika kufanikisha malengo yako. Maaskofu wa Kilutheri hawajahongwa sababu huenda ni moja kati ya watu wanaotumika na Lowassa kutuletea rais mlutheri(mwenzao).

Katika kuongeza nguvu yao, tukaona pitapita ya Lowassa katika misikiti, lakini kubwa tukashuhudia kufichuka kwa habari ya kuhongwa maaskofu wa Kikatoliki(rejea kauli ya Dr Slaa). Kwa vyovyote vile waliamini ili askofu wa kikatoliki amkubali Lowassa lazima ahongwe, na ndio maana wakawahonga.

Huenda pia viongozi wa CHADEMA wamehongwa kama inavyodhaniwa kuhongwa kwa maaskofu wa katoliki, sababu haingii akilini hata kidogo Mbowe, Mnyika, na Lissu waimbe “tuna Imani Lowassa” mtu ambaye wamemtaja katika orodha ya mafisidi, na wameendelea kumuandama kwa miaka nane mfululizo. CHADEMA imenunuliwa? Kama CHADEMA imenunuliwa, kainunua nani? Lowassa au kanisa? Jibu hapa litategemea, kati ya kanisa na Lowassa nani anamtumia mwenzake. Vyovyote iwavyo, huenda Lowassa kajiunga CHADEMA ili kutuletea rais mlutheri.

Leo hii zile tuhuma zote za ufisadi wa Lowassa zimekufa, gazeti la MAWIO na Kubenea wamebadilika, baadhi ya wachungaji na wanasiasa wanataka Lowassa aende Ikulu si kwasababu ni msafi au mwadilifu, sababu kubwa aidha ni fedha zake au ulutheri wake. Tukihoji usafi wake twaambiwa tuzibe midomo au tupeleke ushahidi mahakamani, lakini hivi kwa miaka yote nane Mbowe na genge lake hawakujua kama kuna mahakama? Hivi ni nini kama si fedha inayowafanya watoe utetezi mwepesi kabisa kwa tuhuma zinazo mkabili Lowassa? Hivi kwa mfano mtu anapelekaje ushahidi mahakamani bila kuwa na kesi? Na hivi hiyo kesi ya jinai mfungaji ni nani?

Nasisitiza tu, naomba isiwe kweli na ninaogopa japo kudhani kuwa moja ya chanzo cha fedha hizi anazozimwaga Lowassa katika mashule, misikitini, na katika maeneo mbalimbali zinatoka KKKT.

Watanzania tumkatae Lowassa si kwasababu ya ulutheri wake, hapana, bali tumkatae Lowassa sababu ya siasa zake za udini, siasa ambazo zitaivunja nchi yetu ya amani, huyu mtu ni hatari sana kuliko hata EBOLA. Tumseme na tumpinge kwa nguvu zetu zote, wale walohadaika kwa hili tufanye hima tuwazindue hata wajue kuwa Lowassa HAFAI!

Tulimkemea Lipumba kwa siasa za msikitini na mlituunga mkono, tunaomba na sasa pia mtuunge mkono dhidi ya Lowassa, haijalishi wewe mwanaCHADEMA, au CCM, au ACT, au huna chama, hii ni nchi yetu na ni lazima tupambane na udini..

Hodi hodi uwanjani,
Mlo kando sogeeni,
Walo mbali pigieni,
Barua watumieni.

Nyote mje uwanjani,
Na kalamu mkononi,
Karatasi zishikeni,
Nisemayo andikeni.

Nataka niwafundeni,
Si yale ya unyagoni,
Mjue nawagungeni,
Nawaomba pulikeni.

Kubwa jihamasisheni,
Kwa wingi jitokezeni,
Kura jiandikisheni,
Hilo lizingatieni.

Kura silaha makini,
Kwa kiongozi jununi,
Tuwachinje shingoni,
Mwezi wa kumi jamani.

Hawaishi kwa amani,
Wenye kufanya udini,
Ukabila ni tufani,
Kimbunga kiso kifani,

Popote ulimwenguni,
Naomba tafuteni,
Alafu nitajieni,
Aso na damu mwilini.

Watu toka visiwani,
Na hata wa kusini,
Waishio kaskazini,
Wana damu mishipani.

Popote ulimwenguni,
Mwenye kwenda kanisani,
Biblia yake kwapani,
Ana damu mishipani,

Damu yake ya mwilini,
Yule wa msikitini,
Ina tafauti gani?
Na ya mwenda kanisani?

Yuko na damu mwilini,
Mhindu na mpagani,
Hata asiye na dini,
Ana damu mishipani.

Hino damu ya thamani,
Tunu toka kwa Manani,
Mwiko kuimwaga chini,
Kwa sababu za kihuni,

Njano5.
0784845394

Mods tafadhali peleka hii kwenye jukwaa la NGONJERA.

wtcoj.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ukiona mtu anatoa mada kwa matusi ujue ni dalili ya kushindwa na yeyr mwenyewe ni wa hovyo, pumba kbs sina haja ya kusoma mada za hovyo hovyo hujui unachokiongea bado mchanga kwenye siasa nyamaza huko nenda zako mzeeee
 
Nimejifunza kitu katika mada hii...hakika hiki ni kipindi cha kutumia sana akili zetu na kujiuliza maswali magumu
Asante mtoa mada.....
 
ongeenibl yote ila kura kwa lowassa sio mi sio RC au KKKT
MTAJIJU NYIE WADINI WAKUBWA CCM
MWAKA HUU MTACHAMBA WIMAAA!!
 
TASNIFU ZA NJANO5:KKKT, LOWASSA, GWAJIMA NA URAIS WA NCHI YETU.

Kitambo! Nimewakumbuka!

Lowassa ana mawazo ya kipumbavu! Hivyo basi ni mpumbavu! Wafuasi wake ni wapumbavu, tena ni mambumbu! Heri wangekuwa wajinga tungeweza kuwasaidia, midhali ni wapumbavu lazima tuwakemee ili waache upumbavu wao, sababu sifa ya kubwa ya mpumbavu ni kutoelewa kwa makusudi jambo analoelezwa. Tungeweza kuwaacha, sababu hawa watu wana uzito wa makusudi, lakini kwa maslahi mapana ya nchi lazima tuwaseme na tuwalaani kwa nguvu zetu zote.

Huenda ikawa lugha kali lakini si matusi, sababu mbunge wa CHADEMA Joseph Mbilinyi alilitumia pia bungeni na wengi wetu tuliona si tusi baada ya kusoma maana ya neno hilo katika kamusi ya TUKI, neno mpumbavu kama lilivyo tafasiriwa na kamusi ya TUKI, mpumbavu ni mtu anayeshindwa kuelewa jambo hata kama akielezwa; na imethibiti ili mtu awe mpumbavu ni lazima kutoelewa kwake kuwe kwa makusudi, hususani makusudi yanayoongozwa na maslahi yake binafsi!

Lowassa amekulia na kuzeekea ndani ya CCM, amepata mafunzo ya uongozi na siasa mojakwamoja toka kwa Mwalimu Nyerere. Sisi wengine tunasoma katika vitabu na kuona katika video jinsi Mwalimu alivyochukizwa na ukabila pamoja na udini, lakini Lowassa haya anayajua sababu amefanya kazi chini ya Mwalimu, kwa hivyo yeye ndio anajua zaidi hili kuliko hata sisi tunaomsoma Mwalimu katika vitabu na kumuona katika video.

Lowassa anajua madhara ya kuchagua rais sababu ya kabila lake au dini yake, bila hata kufundishwa na Nyerere, kama wanadamu inatupasa tujue dini na kabila si kigezo cha kupata rais wa nchi yetu. Lowassa ni mpumbavu sababu hili analijua lakini bado analifanya.

Sasa waislamu wanaanza kuhoji ushiriki wa Lowassa bila kusita katika mkataba MOU mkataba ambao hata sasa waislamu wanadhani unatoa upendeleo kwa taasisi za kikristo, huku taasisi za kiislamu zikitengwa katika mkataba huo. Kwa video hii, ngozi halisi ya Lowassa imejulikana, ile zunguka yake katika misikiti ilikuwa na lengo la kutupatia rais mlutheri na si vinginevyo, kweli huyu mzee ni mpumbavu sana!

Nasikitika kuona baadhi ya wenzetu wakimuunga mkono huyu mpumabavu, hawa wenzetu wanaomuunga mkono huyu mtu ni mambumbu kabisa! Werevu wakinyamaza huu upumbavu utamalaki na ukitamalaki tutapata rais mpumbavu mwenye kutuhudumia kwa kuzingatia dini zetu.

Tutafakari na tujiongoze, hivi pana nini nyuma ya pazia za harakati za Lowassa kwenda Ikulu? Huenda nyuma ya pazia kuna harakati za udini, hebu tutafute mazingatio ya ushiriki wa Mchungaji Gwajima katika kuhakikisha Lowassa anakuwa mgombea wa UKAWA, lakini pia tutafute mazingatio ya sababu ilomfanya Sumaye atoke CCM na kwenda kujiunga na UKAWA. Tukumbuke Sumaye alisema kuwa, kama CCM ingempitisha Lowassa angejiondoa CCM. Lowassa amekatwa CCM, na sasa yuko UKAWA, Sumaye naye yupo UKAWA, swali, Sumaye kafuata nini UKAWA?

Urais? Hapana sababu tayari UKAWA ilishapata mgombea
Uwaziri mkuu? Hapana sababu Sumaye hagombei ubunge
Kuleta mabadiliko mazuri? Hapana sababu kwa muda mrefu Sumaye anapinga ufisadi, na mgombea wa UKAWA ni kielelezo cha ufisadi, hivyo si muumini wa mabadiliko mazuri chini ya Lowassa.

Sasa Sumaye kafuata nini UKAWA? Kwa vyovyote vile huenda hajamfuata Lowassa fisadi bali kamfuata Lowassa Mlutheri, hivyo hizi si njama za kutupatia rais mlutheri? Hivi ni Lowassa ndiye anayelitumia kanisa au ni kanisa ndio linalomtumia Lowassa? Kama Kanisa ndio linalomtumia Lowassa, na huku nikizingatia sababu dhaifu alizozitoa Sumaye wakati akijiunga na UKAWA, hivi nitakosea nikidhani kuwa Sumaye mlutheri kaamrishwa na kanisa kuongeza nguvu UKAWA? Pia nitakosea kudhani kuwa fedha anazozimwaga Lowassa zinatoka pia KKKT?

Katika kuhakikisha rais mlutheri anapatikana, Lowassa amefanya juu chini kuhakikisha anaungwa mkono na dini zingine na madhehebu mengine ya kikristo. Hapa ndipo unapoonekana ushiriki wa Mchungaji Gwajima na rushwa ilotembezwa kwa viongozi wa kanisa katoliki(kama kweli). Kinachofanya kengere kulia zaidi ni ukimya wa makanisa yote hususani ya Kilutheri juu ya kadhia hii, kwa vyovyote vile tulitaraji viongozi wa kanisa kumkemea na kumuonya Lowassa, kunyamaza kwao kimya kunatufanya tudhani kuwa kanisa linashiriki katika mchezo huu mchafu. Ni mwiko kabisa japo kwa kudhania kuwa kanisa au msikiti unashiriki katika kuweka ama kutoa rais madarakani katika nchi kama yetu.

Kama Lowassa analitumia kanisa, huenda viongozi wa Kilutheri wamemuelewa na wamemkubali Lowassa kama mlutheri mwenzao bila kigegezi chochote, na ndio maana Dr Slaa hakusema kuwa maaskofu waliohongwa ni wa Kilutheri, hivi kuna haja ya kumuhonga mtu anayekubali kufa kwaajili yako ili afanye unachokitaka? Hakuna haja! Huhitaji kumuhonga zaidi ya kumwambia nini anatakiwa kufanya katika kufanikisha malengo yako. Maaskofu wa Kilutheri hawajahongwa sababu huenda ni moja kati ya watu wanaotumika na Lowassa kutuletea rais mlutheri(mwenzao).

Katika kuongeza nguvu yao, tukaona pitapita ya Lowassa katika misikiti, lakini kubwa tukashuhudia kufichuka kwa habari ya kuhongwa maaskofu wa Kikatoliki(rejea kauli ya Dr Slaa). Kwa vyovyote vile waliamini ili askofu wa kikatoliki amkubali Lowassa lazima ahongwe, na ndio maana wakawahonga.

Huenda pia viongozi wa CHADEMA wamehongwa kama inavyodhaniwa kuhongwa kwa maaskofu wa katoliki, sababu haingii akilini hata kidogo Mbowe, Mnyika, na Lissu waimbe “tuna Imani Lowassa” mtu ambaye wamemtaja katika orodha ya mafisidi, na wameendelea kumuandama kwa miaka nane mfululizo. CHADEMA imenunuliwa? Kama CHADEMA imenunuliwa, kainunua nani? Lowassa au kanisa? Jibu hapa litategemea, kati ya kanisa na Lowassa nani anamtumia mwenzake. Vyovyote iwavyo, huenda Lowassa kajiunga CHADEMA ili kutuletea rais mlutheri.

Leo hii zile tuhuma zote za ufisadi wa Lowassa zimekufa, gazeti la MAWIO na Kubenea wamebadilika, baadhi ya wachungaji na wanasiasa wanataka Lowassa aende Ikulu si kwasababu ni msafi au mwadilifu, sababu kubwa aidha ni fedha zake au ulutheri wake. Tukihoji usafi wake twaambiwa tuzibe midomo au tupeleke ushahidi mahakamani, lakini hivi kwa miaka yote nane Mbowe na genge lake hawakujua kama kuna mahakama? Hivi ni nini kama si fedha inayowafanya watoe utetezi mwepesi kabisa kwa tuhuma zinazo mkabili Lowassa? Hivi kwa mfano mtu anapelekaje ushahidi mahakamani bila kuwa na kesi? Na hivi hiyo kesi ya jinai mfungaji ni nani?

Nasisitiza tu, naomba isiwe kweli na ninaogopa japo kudhani kuwa moja ya chanzo cha fedha hizi anazozimwaga Lowassa katika mashule, misikitini, na katika maeneo mbalimbali zinatoka KKKT.

Watanzania tumkatae Lowassa si kwasababu ya ulutheri wake, hapana, bali tumkatae Lowassa sababu ya siasa zake za udini, siasa ambazo zitaivunja nchi yetu ya amani, huyu mtu ni hatari sana kuliko hata EBOLA. Tumseme na tumpinge kwa nguvu zetu zote, wale walohadaika kwa hili tufanye hima tuwazindue hata wajue kuwa Lowassa HAFAI!

Tulimkemea Lipumba kwa siasa za msikitini na mlituunga mkono, tunaomba na sasa pia mtuunge mkono dhidi ya Lowassa, haijalishi wewe mwanaCHADEMA, au CCM, au ACT, au huna chama, hii ni nchi yetu na ni lazima tupambane na udini..

Hodi hodi uwanjani,
Mlo kando sogeeni,
Walo mbali pigieni,
Barua watumieni.

Nyote mje uwanjani,
Na kalamu mkononi,
Karatasi zishikeni,
Nisemayo andikeni.

Nataka niwafundeni,
Si yale ya unyagoni,
Mjue nawagungeni,
Nawaomba pulikeni.

Kubwa jihamasisheni,
Kwa wingi jitokezeni,
Kura jiandikisheni,
Hilo lizingatieni.

Kura silaha makini,
Kwa kiongozi jununi,
Tuwachinje shingoni,
Mwezi wa kumi jamani.

Hawaishi kwa amani,
Wenye kufanya udini,
Ukabila ni tufani,
Kimbunga kiso kifani,

Popote ulimwenguni,
Naomba tafuteni,
Alafu nitajieni,
Aso na damu mwilini.

Watu toka visiwani,
Na hata wa kusini,
Waishio kaskazini,
Wana damu mishipani.

Popote ulimwenguni,
Mwenye kwenda kanisani,
Biblia yake kwapani,
Ana damu mishipani,

Damu yake ya mwilini,
Yule wa msikitini,
Ina tafauti gani?
Na ya mwenda kanisani?

Yuko na damu mwilini,
Mhindu na mpagani,
Hata asiye na dini,
Ana damu mishipani.

Hino damu ya thamani,
Tunu toka kwa Manani,
Mwiko kuimwaga chini,
Kwa sababu za kihuni,

Njano5.
0784845394

From this long stead, I judge you as an egostistical bastard. Please note that we have seriously victimized tanzanians by the system. A good example is Mtwara region, they innocent peoplwe were shot dead, rural people do not have drinking safe drinking water for 53years, when do you expect such positive changes if not now?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom