Tasi, Bamia na Hoho - weka mbali

Hossam

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
3,547
Reaction score
2,181
Kumekuwa na mauongo kuhusu kuongeza nguvu za kiume, jamaa yangu kanipa ushuhuda baada ya kutumia mchanganyiko huo kawa balaa.

Kaanga tasi aliyevuliwa kwa mshipi awe fresh asiguse kabisa friji. Kaanga kwa mafuta ya mahindi tu. Bamia chukua tano katakata hoho moja jike (lenye nundu nne nyuma, chemsha kwa dakika tano visipoteze rangi .

Kula vikiwa moto, usibakize.

Fanya hivyo kwa wiki kila siku mchana, kisha njoo nipe majibu.

Pangu Pakavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa pana fursa ya kilimo cha Bamia+ Hoho... Hayo mafuta ya mahindi aisee... Yatapanda bei

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Wanaume hata ukisema kutafuta jasho la jongoo na machozi ya Simba jike lazima vitapatikana tu as long as ni Nguvu za kiume zinatafutwa.
Tutabaki kileleni daima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume mnahangaika, siku hizi wadada tunapenda mwanaume awe anajielewa kabla ya kufika huko maana tukikimbilia kuvuana nguo na kusifiana kwa bed tutaishia kuchakaa na kuwa masingle mom tu. Ila mwenye future unakua mke mwenye malengo mazuri.
 
Wanaume mnahangaika, siku hizi wadada tunapenda mwanaume awe anajielewa kabla ya kufika huko maana tukikimbilia kuvuana nguo na kusifiana kwa bed tutaishia kuchakaa na kuwa masingle mom tu. Ila mwenye future unakua mke mwenye malengo mazuri.

Mbaya zaidi unakuta vijana wanaohangaika na hayo ma tasi sijui nini ni under 25yrs sasa unajiuliza huyu akifika 35 kuna kitu tena kweli hapo?
 
Mbaya zaidi unakuta vijana wanaohangaika na hayo ma tasi sijui nini ni under 25yrs sasa unajiuliza huyu akifika 35 kuna kitu tena kweli hapo?
Siku hizi vijana wanapotea sana hasa wa kiume, wanachojua ni kutazama porn waje wageze kwa wasichana wao lakini majukumu kama mwanaume wa mtu hayajui, hajui lugha ya kuongea kwa mwanamke wake wala kumsaidia akiwa kwenye matatizo. Nafikiri hii ni sababu pia inayofanya ndoa zipungue kwa kiasi kikubwa. Wadada tunaogopa pia kuingia kwenye ndoa za mtu anayejisifia vitu vya namna hiyo kwa sababu ndicho anachokijua tu ilihali kuna mengi zaidi ya hilo.
 
Mkuu, hii ni kwa kisayansi ama kwa kienyeji zaidi?
Maana unaposema Tasi lazima amevuliwa kwa mshipi, najikuta nikijiuliza: idadi kubwa ya samaki huvuliwa kwa nyavu...hilo tu kumpata aliyevuliwa kwa mshipi na ndoano ni shughuli pevu!
Je katika hilo kisayansi tasi aliyevuliwa kwa mshipi ana lipi muhimu zaidi kuliko yule tasi aliyevuliwa kwa nyavu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…