Tasher

Tasher

Kuna jamaa alitupia Picha akashambuliwa hapa ila Natasha Toto la kipare lazima atapokelewa kwa bashasha..
Sasa mtoto mrembo kama huyu tunaanzaje kumshambulia kaka ??
Hapa midume inawinda PM tu
Hata mimi ngoja nivune matikiti yangu next week namfata PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom