DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,658
- 81,563
Hizo hela zinaliwa na hao hao viongozi wanaozitoa fatilia utajua Mimi nimewahi kula hizo hela bila kujua kuwa ni za TasafIvi si wafanye research waone kama hizi hela zina Tija.
Sasa kumpa mtu mwenye watoto 6 elf 70 kwa mwez inasaidia nini.
Izo hela si bora wajenge barabara
imani ni hiyo zimewafikiaJe zinawafikia walengwa inavyotakiwa?
mno mnoJe zinawafikia walengwa inavyotakiwa?
Kila Kona mama anatikisaTZS383bn za Rais Samia zatunisha mfuko TASAF
Rais Samia ameongeza kiwango cha fedha kwa ajili ya kunusuru kaya masikini kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 ikiwa ni ruzuku ikilenga kuongeza kipato cha kaya masikini ili ziweze kumudu gharama za maisha na mahitaji ya msingi. Kupitia Mpango huu wa kunusuru Kaya Masikini (TASAF) idadi ya wanafuika imeongezeka kutoka 5,000,000 hadi 5,202,655 mwaka 2024 sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655
HATIMAYE WASIOJIWEZA WALAMBA TZS383BN ZA SAMIA
Anatikisa Nini?Kila Kona mama anatikisa
Izo hela si bora wajenge barabara
Hivi hizo barabara zinazonjengwa hata kabla ya ukoloni Hadi Sasa na haziishi ni za za aina Gani?
Masikini ili wapate hizo hela ni lazima wawe na kadi ya ccmTZS383bn za Rais Samia zatunisha mfuko TASAF
Rais Samia ameongeza kiwango cha fedha kwa ajili ya kunusuru kaya masikini kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 ikiwa ni ruzuku ikilenga kuongeza kipato cha kaya masikini ili ziweze kumudu gharama za maisha na mahitaji ya msingi. Kupitia Mpango huu wa kunusuru Kaya Masikini (TASAF) idadi ya wanafuika imeongezeka kutoka 5,000,000 hadi 5,202,655 mwaka 2024 sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655
HATIMAYE WASIOJIWEZA WALAMBA TZS383BN ZA SAMIA
Sio kweli mkuuMasikini ili wapate hizo hela ni lazima wawe na kadi ya ccm
kazi nzuriTZS383bn za Rais Samia zatunisha mfuko TASAF
Rais Samia ameongeza kiwango cha fedha kwa ajili ya kunusuru kaya masikini kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 ikiwa ni ruzuku ikilenga kuongeza kipato cha kaya masikini ili ziweze kumudu gharama za maisha na mahitaji ya msingi. Kupitia Mpango huu wa kunusuru Kaya Masikini (TASAF) idadi ya wanafuika imeongezeka kutoka 5,000,000 hadi 5,202,655 mwaka 2024 sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655
HATIMAYE WASIOJIWEZA WALAMBA TZS383BN ZA SAMIA
sio kweli pesa haikuwepo kabisaNyakati za jiwe kwenye mambo ya pesa kila kitu kilikuwa mswanu
HONGERA ZAOTZS383bn za Rais Samia zatunisha mfuko TASAF
Rais Samia ameongeza kiwango cha fedha kwa ajili ya kunusuru kaya masikini kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 ikiwa ni ruzuku ikilenga kuongeza kipato cha kaya masikini ili ziweze kumudu gharama za maisha na mahitaji ya msingi. Kupitia Mpango huu wa kunusuru Kaya Masikini (TASAF) idadi ya wanafuika imeongezeka kutoka 5,000,000 hadi 5,202,655 mwaka 2024 sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655
HATIMAYE WASIOJIWEZA WALAMBA TZS383BN ZA SAMIA
si kweliHizi hela wanufaika ni watu wengine na sio hao masikini .
Kuna mwenyekiti wa mtaa alikuwa anakula 600K na hakuwa masikini so haya mambo ni ya kijinga nakutumia hela with no reason
Bora wangesema wanatoa bima za Afya bure kwa watu masikini na wanawapa Bima ya chakula
Safi sana hata hivyoTZS383bn za Rais Samia zatunisha mfuko TASAF
Rais Samia ameongeza kiwango cha fedha kwa ajili ya kunusuru kaya masikini kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 ikiwa ni ruzuku ikilenga kuongeza kipato cha kaya masikini ili ziweze kumudu gharama za maisha na mahitaji ya msingi. Kupitia Mpango huu wa kunusuru Kaya Masikini (TASAF) idadi ya wanafuika imeongezeka kutoka 5,000,000 hadi 5,202,655 mwaka 2024 sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655
HATIMAYE WASIOJIWEZA WALAMBA TZS383BN ZA SAMIA
madeni lazima yawepo ata marekani ana madeni mengi bila ivo kodi ipandishwe labdaDeni la taifa linaonyesha Kila mtanzania anadaiwa million 8 umefikia wapi kulipa deni lako?
Nilitaka kuandika ila umeniwakilishaKm namuona mzee fulani, atakavyomalizia ile mansion yake,
Na wale mapacha wa mchepuko awapeleke huko 🇮🇳 wakasome Udaktari.
Watu wanakula pesaa bhanaa. Lol