TASAF walamba TZS383bn

duh
IZO HELA WANACHEZEA SANA MAANA WATENDAJI WA VIJIJI NA KATA WANAZIPIGA BALAA NILIKUWA KATA FULANI YAANI SIKU YA TASAF NI SIKU YA FURAHA KWA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI HAWAKOSI OFISINI
 
Mfuko wa kuongeza masikini zaidi. Wanao nufaika na iyo PESA ni hao wafanyakazi wa mfuko TU na sio vinginevyo.
KAZI ni kipimo cha utu
 
watu wanajipigia tu imagine kuna mwamba kajenga hadi gest kupitia pesa za walala hoi
Kitendo chako cha kunyamazia mahovu hayo haliyakuwa unayaona, wewe ni miongoni mwa wanufaika wa mahovu pia, kwa lugha rahisi wewe ni muhujumu uchumi aise.
 
Kitendo chako cha kunyamazia mahovu hayo haliyakuwa unayaona, wewe ni miongoni mwa wanufaika wa mahovu pia, kwa lugha rahisi wewe ni muhujumu uchumi aise.
none of ma business
 
Joined, Mar 5, 2025. Posts 194. Hongera sana mkuu, upo kwa kazi maalumu. NRNE
 
Hizi hela wanufaika ni watu wengine na sio hao masikini .

Kuna mwenyekiti wa mtaa alikuwa anakula 600K na hakuwa masikini so haya mambo ni ya kijinga nakutumia hela with no reason

Bora wangesema wanatoa bima za Afya bure kwa watu masikini na wanawapa Bima ya chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…