TASAF na KAYA masikini

TASAF na KAYA masikini

2015ready

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2011
Posts
383
Reaction score
140
Msaada. Naomba tafasiri ya neno "kaya masikini"

Na vigezo gani hutumika kuamua kuwa kaya hii ni masikini?
 
Kuna shida kubwa sana huko TASAF. Walengwa wengi hawajafikiwa.
 
kuna kaya inalala mbele ya milango ya uwanja wa mpira wa sheikh Amri Abeid pale Arusha kwa nini TASAF wasiende kuwasaidia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom