TARURA mnapaswa kujitathimini mwaka 2023

TARURA mnapaswa kujitathimini mwaka 2023

kasindaga

Senior Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
165
Reaction score
165
Mpendwa Rais Dr Suluhu Hasan mwaka Jana mwishoni alisaini Mikataba mikubwa na mipana ya kujenga na kukarabati Barabara zote zinazohudumiwa na TARURA Tanzania nzima.

Hususan makampuni ya wazawa yalisaini Mikataba hiyo ambayo umma waliamini Tanzania tumepiga hatua kubwa.

Sio kificho Barabara zilizokusudiwa na kupata wakandarasi na kupatiwa fedha karibu zote zimebomoka hazipitiki. Madaraja yamebomoka, makaravati yamesombwa na maji tatizo yameanza upya.

Sasa TARURA na Tanroads Mtamweleza nini Mheshimiwa Rais, WM, KMCCM nk?
 
Acha uchawi, umekosa tender eti? Funguka ueleweke, njoo na evidence acha ramli
 
Back
Top Bottom