Mnalalamika km wakurya wa darNi kweli maana Matajiri wa mafini wa Tarime wamewaweka DC na RPC mfukoni ambapo OCD hutumwa kwenda kuwapiga wananchi wachimbaji wadogo wadogo kisha kuwabambikia kesi ili waogope kupaza sauti za kuomba taasisi za haki binadamu kuwasaidia, na kipindi wakiwa jela ndipo matajiri wa madini hutumia fursa hiyo