Tarime yote ni Chadema tuu??

Tarime yote ni Chadema tuu??

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Wana jamvi amani iwe kwenu. Hali ya CCM wilayani Tarime inazidi kudhoofu baada ya wananchi kushuhudia jinsi CCM inavyo wakumbatia wala rushwa wana Tarime hasa kina mama wameamua kukihama CCM na kujiunga na chama bora barani Afrika CHADEMA, tizameni picha zote hapa chini

1b2e83ade3e78c8736614ab674b1dca1.jpg
962ae667e5844586e20675857cd2b046.jpg
f2a768fb66f6e51dbbb361de818d8aa8.jpg
 
Wana jamvi amani iwe kwenu.Hali ya Ccm wilayani Tarime inazidi kudhoofu baada ya wananchi kushuhudia jinsi Ccm inavyo wakumbatia wala rushwa wana Tarime has a kina mama wameamua kukihama Ccm na kujiunga na chama bora barani Afrika CHADEMA,tizameni picha zote hapa chini
1b2e83ade3e78c8736614ab674b1dca1.jpg
962ae667e5844586e20675857cd2b046.jpg
f2a768fb66f6e51dbbb361de818d8aa8.jpg
Saaafi mura.
 
Nadhani umekosea na unatakiwa useme Kiusahihi kabisa kwamba Wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) siyo Watu wa mchezo mchezo.
Mbona musoma iko chini ya CCM

Chadema waliangukia pua mbunge wake ni Vedastus Mathayo

Mm nawakubali Tarime musoma kuna wajita ni wanafiki sana hawa watu na ndiyo wengi pale

Kule tarime ni kurya people never give up
 
Wana wa mkoa wa Mara siyo watu wa kuipenda ccm

Kuna tunaoipenda CCM tena sana tu kama Mimi mwenyewe hapa GENTAMYCINE ila tu hatupendi ' Unafiki ' na ' Uwongo ' bali tunataka Siasa na Demokrasia yenye haki, usawa na umoja.
 
Kuna tunaoipenda CCM tena sana tu kama Mimi mwenyewe hapa GENTAMYCINE ila tu hatupendi ' Unafiki ' na ' Uwongo ' bali tunataka Siasa na Demokrasia yenye haki, usawa na umoja.
Mnanuka rushwa toka kwa mwenyekiti wenu mpaka wateule wake!
 
Mbona musoma iko chini ya CCM

Chadema waliangukia pua mbunge wake ni Vedastus Mathayo

Mm nawakubali Tarime musoma kuna wajita ni wanafiki sana hawa watu na ndiyo wengi pale

Kule tarime ni kurya people never give up
Utatuitaje WANAFIKI .... silika Ana tabia ya mtu au kikundi cha watu fulani isiwe kigezo cha kutukana wenzio .... THAT'S UNFAIR
 
uanachama ni zaidi ya kadi na uzalendo ni zaidi ya chama; tuambie baada ya kuwa Chadema maisha Yao yamepata mabadiliko gani chanya tofauti na hapo awali?
 
Back
Top Bottom