Huu ni uchochezi wa Chadema kutaka Nchi isitawalike kama walivyosema awali, mimi nafikiri mganga wao kawadanganya sana kwani kila kukicha wanahamasisha maandamano na madhara yake Watanzania wasio kuwa na hatia wanakufa. Tarime na Buhemba ni Wilaya mbili tofauti na zipo mbali mbali, je mtoa maada anatuhadaa yeye akiwa Dar sisi tuumie huku wao wanagawana pesa?. Wakurya huwa hatudanganyiki na ndo maana tukiamua kufanya kitu tunatenda kweli bila kuogopa. Acheni uchuro wenu wa kutuchonganisha tuanzekupigana tena.
...WEWE ni...Mbunge wa lumumba ..au .ni Mbunge wa wanainchi......
.Chagua moja TUKUELEWE!!!!
sasa mtajua maana ya ubunge..kwenda kuwakilisha tumbo lako au kuwakilisha walio kuajiri....
Kwa sasa wabunge wa Magamba wenye mlengo wa Lumumba ..matumbo joto!!!!!
VIJANA WAMECHACHAMAAAAA CHA!!!
kwa nini wanasema wakachimbe kule bagamoyo (kwa kikwete) na si mtwara (kwa mkapa ambaye alisaini hiyo mikataba)? bange zinamadhara kwelikweli.Habari nilizozipata hivi punde toka Tarime mjini ni kwamba, kuna ujumbe wa SMS unaosambazwa kuwahimiza wananchi kuamka na kuanza ukombozi. Wamepanga maandamano Alhamisi inayokuja na Ujumbe niliotumiwa unasomeka hivi
Unajipachika jina la kikurya kumbe mrundi. Unaijua Tarime wewe? Kuna Buhemba ya Tarime kama km 2 tu kutoka Rarime mjini..Huu ni uchochezi wa Chadema kutaka Nchi isitawalike kama walivyosema awali, mimi nafikiri mganga wao kawadanganya sana kwani kila kukicha wanahamasisha maandamano na madhara yake Watanzania wasio kuwa na hatia wanakufa. Tarime na Buhemba ni Wilaya mbili tofauti na zipo mbali mbali, je mtoa maada anatuhadaa yeye akiwa Dar sisi tuumie huku wao wanagawana pesa?. Wakurya huwa hatudanganyiki na ndo maana tukiamua kufanya kitu tunatenda kweli bila kuogopa. Acheni uchuro wenu wa kutuchonganisha tuanzekupigana tena.
Tarime tunawaaminia kwa kweli
WEWE kweli unaijua Tarime?? after all hakuna wilaya inayoitwa Buhemba: Hiyo Geography yako nafikiri ni ya mwaka 2025 ambayo haijafika! Kuuliza siyo ujinga; jifunze kujifunza kupitia kuuliza!
Duuh! Hivi mitambo ya analojia bado haijazimwa kwako??
Loosale hapo kwenye red, amini usiamini naongea kiswahili vizuri tu hila kuandika ni tabu sio mbwembwe kaka it is just a psycholgy thing unajua wengine hatujaandikia kiswahili kabisa tangia vidudu, hivyo niandikavyo ni product ya maneno kuja in two languages kichwani.Ongea kiswahili hakuna ulazima kuongea English usiyoweza,nenda hata tution
Buhemba haiko Tarime Iko Musoma:Lakini yote kwa yote kama jambo hilo lipo safi sana,na Geita waandae Maandamano Kudai dhahabu yao.Itakuwa Tamu kwelikweli yani kila kona itakuwa patashika mpaka wadhulumati wakimbie wenyewe.
Buhemba iko Tarime?
......
Huu ni uchochezi wa Chadema kutaka Nchi isitawalike kama walivyosema awali, mimi nafikiri mganga wao kawadanganya sana kwani kila kukicha wanahamasisha maandamano na madhara yake Watanzania wasio kuwa na hatia wanakufa.
Tarime na Buhemba ni Wilaya mbili tofauti na zipo mbali mbali, je mtoa maada anatuhadaa yeye akiwa Dar sisi tuumie huku wao wanagawana pesa?.
Wakurya huwa hatudanganyiki na ndo maana tukiamua kufanya kitu tunatenda kweli bila kuogopa. Acheni uchuro wenu wa kutuchonganisha tuanzekupigana tena.
........
sawa kabisa kama serikali itaruhusu upuuzi huu wa kila watu kudai mali zao. Hakuna cha kushangaa hapa. Tena watu wa Mara wadai makao makuu ya TANAPA yahamishwe yawe Musoma au Serengeti maana kila mwenye rasilimali haoni ambavyo anaweza kufaidi mpaka ajengewe hapo kwake!! We are setting a very risky precedence![/QUOTE
Very risky precedence ilishajengwa na serikali kwa kutowashirikisha wananchi katika miradi hasa inayohusu raslimali nyeti za taifa na kusaini mikataba inayofaidisha mafisadi na wawekezaji, halafu kulimbikiza ka share ketu ka 5% kule Darisalama na kuwaacha wananchi wanaozungukwa na hizo raslimali wakifa umaskini
Kinachoendelea sasa mkuu ni matokeo tu ya hiyo risk iliyochukuliwa na viongozi wa serikali bila kufanya uchambuzi yakinifu. Kama mfumo uliopo sasa wa madini na raslimali ni mzuri, kwa nini watanzania wa vijijini tulio wengi hatuishi kama 3rd Gold producers in Africa? dhahabu imekwenda wapi?