Tarime Wanaandaa Maandamano

Sasa naanza kupata shaka juu ya amani ya nchi.


Nahisi hata wale kwa namna moja au nyingine waliojirimbikizia mali za umma hawana raha tena na mali hizo.

Natumaini kwa sasa passport za kusafiria ni kama dhahabu ya karatasi.

Anyway mnaweza kuamka kudai haki,lakini mkasahau wajibu wenu na hiyo haki ikaonekana kama ni janga lingine litakalotufanya kukosa amani milele hasa kwa wanawake na watoto.
 
Naona mnataka kuiangusha Fastjet kwa ugonjwa wa moyo.
 
Mi nawaunga mkono kuwaondoa hao wachina Nyamongo. Kama huna panga anza kununua
 
habari nilizozipata hivi punde toka tarime mjini ni kwamba, kuna ujumbe wa sms unaosambazwa kuwahimiza wananchi kuamka na kuanza ukombozi. Wamepanga maandamano alhamisi inayokuja na ujumbe niliotumiwa unasomeka hivi

nawatakia wanatarime mapinduzi mema...
 
Naunga mkono hoja, sera ya majimbo bado ina walakini mkubwa sana.
 
lakini simnakumbuka yaliomkuta Nyambari Nyangwine?
 
Next Arusha wataifishe ngombe za lowasa na Mali zake, hotel ya Vasco na waarabu Serengeti, mererani na mlima meru alafu ifate bagamoyo minazi na mananasi Yao yasiuzwe chalinze wala kusafirishwa mpaka kieleweke
 
aisee mura kikinuka.huko.ujue nchi.inapinduliwa ogopa watu wanaokimbilia sehemulio wa risasi.unapotokea badala ya kukimbia wanazifata waulize wale walinda amani.wakati wa wanchari na warianchoka walichokipata.... Mungu.tuepushe.
 
Habari nilizozipata hivi punde toka Tarime mjini ni kwamba, kuna ujumbe wa SMS unaosambazwa kuwahimiza wananchi kuamka na kuanza ukombozi. Wamepanga maandamano Alhamisi inayokuja na Ujumbe niliotumiwa unasomeka hivi
mererani nako wanajiandaa,maana haya ni madini pekee yanayopatikana hapo
 


Acha Malaria, kwa kusema ukweli Tarime tumelala. Madini yetu yanatajirisha bagamoyo wakati mji wa tarime hamna kinacholendelea. Kama ni Chadema wamewaamsha watu basi bora tungekuwa na Chadema kama 100. Taarime, Mwanza na kanda ya ziwa yote aamkeni tuokoe wajukuu wetu. Tutawaachia nini?
 
takwim. polis watatu ni sawa na mtalime 1( vita ni vita muraaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Buhemba haiko Tarime Iko Musoma:Lakini yote kwa yote kama jambo hilo lipo safi sana,na Geita waandae Maandamano Kudai dhahabu yao.Itakuwa Tamu kwelikweli yani kila kona itakuwa patashika mpaka wadhulumati wakimbie wenyewe.
 
Mura kana wewe wa hai mura??? Buhemba ni kata ya TARIME mura..........
 
kwenye red:
1.Sikubaliani na wewe kuwa huu ni uchochezi wa CHADEMA - wote tunafahamu issue ya mtwara inaungwa mkono na wanachama wa vyama vyote, tena yaliongozwa na mbunge wa CCM (mtwara mjini, pia siyo kweli kuwa watanzania wa sasa/leo hawaelekezwi cha kufanya isipokuwa wanajua kila jambo na ufahamu wao umeongezeka. Hata sitashangaa nikikutana nao njiani wakielekea magogoni.
2. Inawezekana wewe ni mkurya ambaye haishi tarime au ulishaishi Mara na unajifanya ni mkurya ama huwa unafuatilia mambo ya wakurya/mara kwa uvivu - kuna wilaya ya Tarime ila hakuna wilaya Buhemba. Ila kuna Buhemba mbili (moja ni kitongoji/mtaa upo tarime mjini) katika wilaya ya Tarime (mjini), Buhemba ingine ni eneo lililopo wilaya ya Butiama (zamani musoma vijijini), lipo karibu na Butiama, Lwamkoma, buhemba na Bumangi - ni maarufu sana katika ile issue ya Meremeta (machimbo ya dhahabu.
3.
Kwenye Blue: Nakubaliana na wewe kuwa wakurya hawadanganyiki - hivyo inawezekana kabisa wakawa na mpango wa kulianzisha kama mleta mada alivyobainisha, nadhani tusubiri, kama haitatokea leo basi ninaamini wanawezafanya kesho​
 

Bora hivyo kwa sababu mwisho wa siku wanaonufaika watakuwa watanzania kuliko hali ilivyo sasa!
Hali ni mbaya kila sehemu huku wakinufaika wale walio wezi kati yetu katika mwavuli wa kujiita viongozi, wanasahau wako hapo walipo kwa kura zetu!
Hawana shukrani, natamani wangechomewa humo maofisini! Bloody fools!
 

Ongea kiswahili hakuna ulazima kuongea English usiyoweza,nenda hata tution
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…