Tarime tarime

Tarime tarime

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Za jumapili banduguz, naelekea tarime cku ya leo, nachoitaji hapa ni maelezo ya juu ya mji wa tarime kama hotel iliyo salama, sehemu nzuri ya kupata chakula, mahala pa kujirusha ctapenda cause tarime naiogopa kutokana na mauaji nayoyasikia, ni hayo 2
 
mji upo salama,matukio unayoyasikia yapo vijijini zaidi.NDIO MAANA KUNA Taasisi na watu wanaendelea na maisha kama kawaida.

Unayoyasikia,mengine yanakuzwa na vyombo vya habari ili wauze magazeti.UKITOKA BAADA YA SHUGHULI ZAKO UTANIKUWA SHAHIDI WA UTULIVU ULIOPO.!!!!
 
Guest nyingi trm ni nzuri. Uliza barabara ya kwenda lebu kushoto kuna uwanja wa mpira na kulia kuna guest kibao. Onyo, usitembee usiku kuanzia saa 3.
 
Daisy Leaf Hotel wako vizuri, chumba ni 40thou. Msosi nenda JJ Club.
 
Lala gold land ni poa hudima zote muhimu zipo au unaweza kulala daisy leaf,misosi na kujirusha nenda jj clinau cris pub
 
Gold land kumechoka, limebaki ghorofa tu. Nimetoka huko last week! Daisy leaf hutajuta
 
Daisy leaf hakika hutajuta, swala la usalama ni asilimia mia moja, karibu sana taaaaarime!!
 
karibu ulale kwetu maeneo ya sabsaba kwa sababu ww ni mwana jf mwenzangu utakula ugali na nyama ya kuchoma mura na kichuri alafu asubuhi nitakutembeza sehemu mbali mbali na ukipenda tutakutana na viongozi wa chama chadema na madiwani wa chadema tutafanya nao mahojiano upate cha kuandika jf wachangie ulicho kipata tarime hapa karibu sana mura
 
Kuna guest nyingine inaitwa NYARONYO Ila Sijajua bei ipo nyamwaga Road mbele kidogo na uwanja wa mpira Kuna AMA hoteli Sky lodge yaani kazi ni kwako
 
Asanteni sana ma great thinker, nipo kwenye zakaria bus ila inakimbia hadi naogopa asee
 
Za jumapili banduguz, naelekea tarime cku ya leo, nachoitaji hapa ni maelezo ya juu ya mji wa tarime kama hotel iliyo salama, sehemu nzuri ya kupata chakula, mahala pa kujirusha ctapenda cause tarime naiogopa kutokana na mauaji nayoyasikia, ni hayo 2

Panga ni kifaa kimojawapo cha kujirushia ukienda sehemu za starehe, Me mwenzio nkiendaga huko huwa naokoka na kusahau starehe kabisaaaaaaaaa, maana starehe za huko za kimachale sana.
 
Asanteni sana ma great thinker, nipo kwenye zakaria bus ila inakimbia hadi naogopa asee

nilikuwa uko tarime mwaka juzi,nilifurahia maisha ya tarime kwa sana,na watu wauko ni wakarimu kwa sana,na kitu nilichogundua mambo mengi yanayotokea tarime yanakuzwa sana na vyombo vya habari,ivyo kuogopesha wageni.
for me nimetembea wilaya nyingi tz,tarime ni moja ya wilaya nzuri kabisa ata kuishi,hali ya hewa nzuri,vyakula vyingi,na ata amzunguko wa fedha ni mzuri.
hiyo basi ya zakaria nakumbuka mwaka juzi ilimwaga na kuua watu maeneo ya nyanguge mwanza mwendo wao ni wa kasi ajabu.
 
Du for me, hakuna eneo ambalo linatia shaka kuishi kama Tarime ni bora ukafuata ushauri wa kwamba ukienda huko starehe zote weke pembeni, hawo jamaa wamekuwa kama nini sijui mauaji ni sehemu ya tamaduni zao, kwa bahati mbaya ukachukua demu wa mtu kifo nje nje, ukatofautiana kidogo na mtu umekwisha, kama wenyeji wanafanyiana hivyo inakuwaje kwa mgeni, sio sehemu ya kuishi otherwise umelazimishwa kwenda kikazi, mimi nilikuwa na mpenzi wangu wa huko baada kupata matukio ya huko nimeshamuweka pembeni sipendi kabisa kuchangamana na hii jamii, kwa sababu naweza kukolofishana naye shemeji zangu wakaja kuniua bure, sometimes wana hulka ya kuua mtu with minor reasons, na kusema vyombo vya habari vinakuza sio kweli kwa sababu tunaona matukio kwa picha na watu tunaona walivyojaa kuangalia tukio. Haiingii akilini kwamba kweli vyombo vya habari vinakuza. Na hayo ni matukio machache ambayo tunayasikia, nakumbuka kuna mwanamke mmoja alikatwa mikono kwa sababu ya kuachia kitoweo (Kuku) kuliwa na paka.
 
Umepamba sana na uwenda huyo demu wako wa kikurya alionyesha msimamo wake ndo ukawachukia wakurya lakini akuna kitu kama hicho akuna sehemu nzuri kama tarime na jaribu kufanya utafiti watumishi wengi wanao letwa hapa tarime wakimaliza kulitumikia taifa na kustaafu wakiwa hapa huwa awapendi kuondoka hapa tarime na kujenga wamejenga wengi sana mfano mzuri nakupa hakimu aliyestafuu miaka miwili iliyopita mchaga anaitwa marya kajenga tarime na anaishi tarime pasipo hata kujali kuwa alifunga watu wengi sana na wengine bila sababu za msingi.

Kwa hyo tarime ni sehemu nzuri sana ya kuishi na usalama ni mwingi.
Lakini umezungumzia ikitokea umechukua mke wa mtu hilo ni kosa na kwa kawaida akuna mtu anapenda dhalau uwezi nichukulia mwanamke alafu ukawa unakuja kunionyoshea dhalau hapo atutaelewana ndugu yangu

Sehemu yeyote ukienda ukaishi kwa amani na upendo ukawa mkarimu kwa kila mtu hata watu wabaya watakupenda kwa hiyo sikushauri kuwashambulia sana wakurya wakati wakurya ndio wanaongoza kwa upendo na kuwakaribisha wageni tarime kwa moyo wa upendo bila shida.
 
Nzuri zaidi inaitwa Mseti ...ila ikifika saa 2 uwe ndani halafu kutongoza mademu ovyo utarudi bila kiganja

Sent from my BlackBerry Porshe using JamiiForums
 
Acha uongo! Unaongea kwa experience au kwakusikia? Mi siyo mkurya ila nimefanya kazi Tarime na nimeishi huko for almost two years! My heart is still with people of Tarime. They are very social and kind. Nawakumbuka sana watu wa Tarime and I hope one day nitawatembelea! Acha kabisa kukuza mambo usiyoyafahamu! Tarime kuna watz kama walioko maeneo mengine ya Tanzania!

Jumapili Njema!

Du for me, hakuna eneo ambalo linatia shaka kuishi kama Tarime ni bora ukafuata ushauri wa kwamba ukienda huko starehe zote weke pembeni, hawo jamaa wamekuwa kama nini sijui mauaji ni sehemu ya tamaduni zao, kwa bahati mbaya ukachukua demu wa mtu kifo nje nje, ukatofautiana kidogo na mtu umekwisha, kama wenyeji wanafanyiana hivyo inakuwaje kwa mgeni, sio sehemu ya kuishi otherwise umelazimishwa kwenda kikazi, mimi nilikuwa na mpenzi wangu wa huko baada kupata matukio ya huko nimeshamuweka pembeni sipendi kabisa kuchangamana na hii jamii, kwa sababu naweza kukolofishana naye shemeji zangu wakaja kuniua bure, sometimes wana hulka ya kuua mtu with minor reasons, na kusema vyombo vya habari vinakuza sio kweli kwa sababu tunaona matukio kwa picha na watu tunaona walivyojaa kuangalia tukio. Haiingii akilini kwamba kweli vyombo vya habari vinakuza. Na hayo ni matukio machache ambayo tunayasikia, nakumbuka kuna mwanamke mmoja alikatwa mikono kwa sababu ya kuachia kitoweo (Kuku) kuliwa na paka.
 
Acha uongo! Unaongea kwa experience au kwakusikia? Mi siyo mkurya ila nimefanya kazi Tarime na nimeishi huko for almost two years! My heart is still with people of Tarime. They are very social and kind. Nawakumbuka sana watu wa Tarime and I hope one day nitawatembelea! Acha kabisa kukuza mambo usiyoyafahamu! Tarime kuna watz kama walioko maeneo mengine ya Tanzania!

Jumapili Njema!

Asante ndugu kwa kumueleza vyema juu ya ukarimu wa watu wa tarime hata mimi nimemuelezea
uwenda anasikia habari za mitaani
 
Umepamba sana na uwenda huyo demu wako wa kikurya alionyesha msimamo wake ndo ukawachukia wakurya lakini akuna kitu kama hicho akuna sehemu nzuri kama tarime na jaribu kufanya utafiti watumishi wengi wanao letwa hapa tarime wakimaliza kulitumikia taifa na kustaafu wakiwa hapa huwa awapendi kuondoka hapa tarime na kujenga wamejenga wengi sana mfano mzuri nakupa hakimu aliyestafuu miaka miwili iliyopita mchaga anaitwa marya kajenga tarime na anaishi tarime pasipo hata kujali kuwa alifunga watu wengi sana na wengine bila sababu za msingi.

Kwa hyo tarime ni sehemu nzuri sana ya kuishi na usalama ni mwingi.
Lakini umezungumzia ikitokea umechukua mke wa mtu hilo ni kosa na kwa kawaida akuna mtu anapenda dhalau uwezi nichukulia mwanamke alafu ukawa unakuja kunionyoshea dhalau hapo atutaelewana ndugu yangu

Sehemu yeyote ukienda ukaishi kwa amani na upendo ukawa mkarimu kwa kila mtu hata watu wabaya watakupenda kwa hiyo sikushauri kuwashambulia sana wakurya wakati wakurya ndio wanaongoza kwa upendo na kuwakaribisha wageni tarime kwa moyo wa upendo bila shida.
Sawa ndugu ila habari ya Tarime watu wengi wanajua haina haja kujadili sana, lakini hata uongozi wetu wetu wa juu unalifahamu hilo ushahidi ni juzi tu, waziri alitamka kwa kinywa chake kwamba kama sakata la gas Mtwara lingetokea Mara (Tarime) sijui ingekuwaje? Huo ni ushahidi tosha wa kutilia shaka jamii hiyo.
Hiyo ya kusema jamii ya Wakurya ni wakarimu hiyo ni issue tofauti kwani mkarimu pia anaweza kuwa katili.
Lakini mimi ninachofahamu kuwa ni wajeuri na wakatili hali kadharika ni jeuri sana.
Ushahidi. Kila siku kitunda na majumba sita (Ukonga) wakurya wanagingwa na magari wakiwa wamebeba mayai kwenye baiskeli kwa ajiri ya kiburi na jeuri, wanadhani kila mtu anawafahamu wao ni wakurya kwa hiyo ni watu wa kuogopeka, matokeo yake wanapoteza maisha.
Huo ndio ukweli, kwa tabia hiyo ndio maaana tunapenda wafanye kazi kwenye majeshi. Mkurya original hana lugha ya upole wala ukarimu hana neno kuomba ana neno lete/nipe.
 
Back
Top Bottom