NileSat
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 340
- 182
Wakuu scale ya malipo ya hili shirika letu la umeme lipo vipi? Naelewa Wateja Wa D1 ni wale wanaotumia chini ya unit 75 kwa mwezi na wanauziwa unit 100 je nini tofauti ya T1 na T2 customers? na bei za unit kwa T1 na T2 zipoje? na hawa wanaochukua 11KV au 132KV wao wapo kundi gani na wanauziwaje unit?