Tarifa kwa Umma: Imba Ukombozi

Tarifa kwa Umma: Imba Ukombozi

Taarifa kwa Umma.....

Idara ya sanaa Chadema Taifa kwa sasa iko ziarani nyanda za juu kusini mikoa ya Njombe Mbeya Songea, ziara hii imepewa jina la

"IMBA UKOMBOZI".

Ieleweke idara ya sanaa ya Chadema inawasanii wengi karibu kila mkoa.

Ziara hii ya idara ya sanaa inamalengo ya kuhamasisha vijana kujiandikisha kwa wingi kwenye daftari la wapiga kura punde zoezi litakapoanza, lengo la pili kuwahamasisha kuimba nyimbo za ukombozi.

Imetolewa na idara ya sanaa Chadema Taifa

Mimi nilishawakimbia, siku hizi nipo ACT~Tanzania...nakula Asali na Maziwa...baki zenu na NGO ya Mtei na Mbowe. Eti bajeti pia tuweke pensheni na posho za Muasisi wa Chama ndugu Mtei, kila mwezi najiuliza Tshs. 3 Milioni zinakwenda wapi na hakuna PAYE yeyote inayopelekwa TRA, kumbe Mtei bhana, kisa Muasisi...dah!
 
Toka lini mchepuko wa ccm ukawa Chadema? Kawadanganye Fisi siyo waelewa kama sisi
 
Taarifa kwa Umma.....

Idara ya sanaa Chadema Taifa kwa sasa iko ziarani nyanda za juu kusini mikoa ya Njombe Mbeya Songea, ziara hii imepewa jina la

"IMBA UKOMBOZI".

Ieleweke idara ya sanaa ya Chadema inawasanii wengi karibu kila mkoa.

Ziara hii ya idara ya sanaa inamalengo ya kuhamasisha vijana kujiandikisha kwa wingi kwenye daftari la wapiga kura punde zoezi litakapoanza, lengo la pili kuwahamasisha kuimba nyimbo za ukombozi.

Imetolewa na idara ya sanaa Chadema Taifa

tumain mshamfukuza?mana wachaga hamkawii mkiguswa tu mnakuja na ishu ya usalit,hasa ukiulizia ruzuku
 
Back
Top Bottom