TARI nchi nzima, namba zao hazipatikani

TARI nchi nzima, namba zao hazipatikani

Internet-Money

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2021
Posts
623
Reaction score
1,319
Ni kwa zaidi ya miezi sita sasa namba za huduma kwa wateja za TARI za kanda zote hazipatikani.
Pili website ya TARI kuto-update uwepo wa mbegu mpya unaweza ukakuta mbegu mpya kwenye PDF ila kwenye website haja update ndani ya mwaka sasa

Pia Tantrade walikuwa wanaweka bei za bidhaa kama mbogamboga : Bamia na Bilinganya
Ila kwa sasa wanaweka bei ya bidhaa chache ambazo bei hizo unaweza kuzikuta kwenye kilimo.go.tz

Vituko zaidi utavipata ukipiga namba za wizara ya kilimo

Kuna matatizo mengi kwenye sekta ya kilimo kwa mfano: zaidi ya mwaka sasa natafuta mbegu za maharage pale TARI lakini imekuwa ngumu
 
Naluunga mkono mkuu, update za bei mbalimbali kama mbogamboga siku hizi hawatoi, wanaweka nafaka tu.

Kuhusu namba za tari, sio tu tari ni sekta kadhaa sjajua ttcl amekata huduma au wao wamegoma kuzitumia, Kuna soku nilipiga simu TFRA ilipokelewa lakini wakawa wanaendelea kupiga stori in the background huku mimi nikishia kusema halo! Habari! mpaka nikaamua kukata simu mwenyewe maana nilipiga kwenye namba ike ya mezani , zile za toll free ndo haziiti kabisa


Lakini naweza kuwapa kongole hizi taasisi sehemu ya email, wapo active kwa kiasi chake - na kushauri tumia njia ya email
 
Back
Top Bottom