Tarehe ya kuripoti chuo Kikuu Dodoma

Hakuna mwaka mtamu sana kama ukiwa first year kila kitu kilahisi sana kwako!

Unakuwa na ndoto nyingi sana

1.kupata gpa kubwa
2.kutopata sup
3.kuwa na malengo ya kusoma tu

4.kwenda ibadani

Ila unakuja kuanza kuwa mgumu pale unapomaliza semista ya mwisho

1.gpa kuyumba
2.sup za kutosha na dalili ya kudisco
3.malengo ya kusoma kupotea
4.kusahau ibada
5.....

Karibuni chuo kikuu, sehemu ya kila aina ya vurugu
 
Umenena mkuu daa, japo kwangu haijanitokea ila nina mdogo wangu pale RUCO aisee kama ulivyesema alikuwa mda wote kanisani maombi sana kusoma sana ila sasa hiv daaa hadi ananiharibia CV kaka yake
 
Back
Top Bottom