Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Hello, mimi huwa nakaa sana vijiweni saa zangu za mapumziko baada ya kazi, na mara nyingi huwa naongea issues nyingi sana na washikaji. Na kama kuna issue ambayo nimeona imeleta ubishani sana, huwa nakuja kuileta huku...
Aisee shukran sana, mke wangu ana tatizo ila tunajaribu namna ya kuona kama tunaweza kutibu tatizo
 

Mkuu nimekuelewa sana ila naimba kujua kama kuna uwezekano wakujua siku flani kwenye mzunguko unaoweza nisaidia kupata watoto mapacha
 

Mkuu nimekuelewa sana na asante kwa kunirahisishia kutengeneza calender swali nililobakiwa nalo nahesabuje hizo 15days kwa mtu mwenye mzunguko unaobadilikabadilika maana siku zinakuwa 25-26-27 or 28 mpk 32sometimes
 
Duuh
Mkuu nimekuelewa sana na asante kwa kunirahisishia kutengeneza calender swali nililobakiwa nalo nahesabuje hizo 15days kwa mtu mwenye mzunguko unaobadilikabadilika maana siku zinakuwa 25-26-27 or 28 mpk 32sometimes
 
Good job
 
michango ya mawazo na elimu ya bure kwa gharama ya bando imeleta tija kwa kweli wote asanteni nimepata kitu japo kwa kiasi fulani nilikuwa najua
 
Kwa kawaida wanawake wengi huwa na mzunguko wa siku 28 ambao huanza kuhesabiwa kuanzia siku ya kwanza ya hedhi.Mimba hutokea pale ambapo yai linalotolewa na mwanamke linakutana na mbegu ya mwanaume.Kwa kawaida yai hutolewa siku ya 14 ya mzunguko ambayo tunaita ovulation.Na kwa kawaida mbegu za mwanaume huweza kuishi kwa mwanamke kwa takribani siku 3 had 4.Kwa hiyo siku za hatari ambazo ukifanya mapenzi na mwanamke anaweza kupata mimba ni kuanzia siku 4 kabla ya ovulation day na siku 4 baada ya ovulation day.Hiyo ndio estimation.
 
Mkuu vipi kwa wale wanawake ambao wanafika mpaka siku 37 inakuaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…