Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Uzushi tu huo kampeni ya ongea deile imeisha, endeleeni kuamini hizo chaiWeee tena mimi ni Chai-coholic kabsa, nikisikia fyeeeeee...huyu hapa nimejaa!
lara 1 alianzisha perereee hapa kuhusu kaka Mond na Abuse ya wanawake, though alishambuliwa sana na pro Mond ila ujumbe ulifika na dunia ilijua na kwa kiwango fulani imempotezea eligibility huyu de Mond...hapo ni abuse tu, kwanini na huyu ndugu asiweke hili lake la kifo ambalo ni kubwa kuliko abuse?
casto ndiyo jina lake iloEmbu mlete hapa tumtoe kidevu, hakuna mtu aliye juu ya sharia...weka jina lake hapa ama una mstahi?
Atukujua sababu ya kumuuwaDah pole sana.... apumzike kwa amani
Tushirikishe, kwanini aliuwawa?
Mkuu aliuwa kwa kukusudia kabixa kwasababu alimuuwa na kukaa na mwili ndani siku tatu siku ya tatu akaona mwili unaaribika ikabidi amfuate mwenye nyumba na kumuambia nenda ndani rose anaumwa amelala ndiyo yeye akakimbia kwa kujua alicho fanya ndiyo mama mwenye nyumba kwenda ndani akakuta arufu mtu alisha fariki ndiyo kapiga simu polisPole Sana ndugu na vile SHERIA Ni msumeno naye kautumia kutoa uhai wa dada yako kipenzi .
Sheria inaudhi Sana huenda naye kesi yake imeonekana aliua bila kukusudia ila Kwa nini awe huru Leo ? Hivi kuua bila kukusudia Ni kuachwa huru au kuepushwa na adhabu ya kunyongwa tu ?
Mleta uzi rudi utuambie pengine utapata msaada wa ama kupunguza maumivu ya moyo wako au kupata haki stahiki
sitoweza kusahau kwasababu ningekupa historia ya maisha yangu na jinsi huyo dada alivyokuwa msaada wangu utaamini ni ngumu kusahau kwasabu alikuwa ndiyo baba ndiyo mama yani huyo aliye muuwa ni bora ata asingezaliwa yani namuona kama shetanipole mkuu! achana na habari ya sintasahau,, unless otherwise utajikuta unafanya kisasi kibaya ambapo haipendezi kwa MUNGU,.
casto ndiyo jina lake ilo
Serious mkuu jina lake ndiyo ilo casto mwacha ndiyo jinaSerious boy kwamba mtu aliyemuua dada yako,akabadilisha maisha yako, mwenye tuhuma kubwa namna hii ya mauaji, na ambaye unamtaja kwamba yuko juu ya sheria unamwita tu Casto, yaani as if humjui kabisa ama unahisi tu? Kuwa siriazi kidogo!
Ila kwasasa alibadili jina baada ya tukio na ajiita gasto mushi anapatikana maeneo kcmc kwa mara nyingiSerious boy kwamba mtu aliyemuua dada yako,akabadilisha maisha yako, mwenye tuhuma kubwa namna hii ya mauaji, na ambaye unamtaja kwamba yuko juu ya sheria unamwita tu Casto, yaani as if humjui kabisa ama unahisi tu? Kuwa siriazi kidogo!
Ila kwasasa alibadili jina baada ya tukio na ajiita gasto mushi anapatikana maeneo kcmc kwa mara nyingi
Pole sana friend...Atukujua sababu ya kumuuwa
Ila kwasasa alibadili jina baada ya tukio na ajiita gasto mushi anapatikana maeneo kcmc kwa mara nyingi
Wivu na hasira haiwi sababu ya kutoa uhai wa mtu ni ukatili tu.hata wanyama naogopa kuwasingizia km wanaroho mbaya iyo.kifo cha kikatili sana hiki, inaonekana kilitokana na wivu na hasira,
dah, mkuu kwani nimekataa sio ukatili?Wivu na hasira haiwi sababu ya kutoa uhai wa mtu ni ukatili tu.hata wanyama naogopa kuwasingizia km wanaroho mbaya iyo.