Tarehe 7 april - siku ya afya duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tarehe 7 april - siku ya afya duniani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MAMMAMIA, Apr 7, 2011.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ingawaje mada ni afya, nimeona bora kuituma hapa kutokana na umuhimu wa siku hii,
  pia kutokana na mapenzi yangu kwa Familia yangu ya JF.

  Ninawatakia Wana Jamii Forum, Watanzania na Walimwengu wote,
  AFYA NJEMA ikiambatana na FURAHA TELE.

  Tusisahau kuzingatia wito wa mwaka huu: Matumizi mabaya ya Antibiotics - Tusipochukua hatua leo, kesho tutashindwa kutibika.
  Kwa maelezo zaidi, chungulia hapa: WHO | 10 facts on antimicrobial resistance

  AFYA NJEMA KWA WOTE.
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Thank you
  Nakutakia afya njema na wewe

  Na faraja
  Kwa ambao
  Wanamatatizo
  Mbalimbali mbalimbali ya kiafya..
   
 3. LD

  LD JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Thanks,You too!!
  Uwe na afya njema kabisa.
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Shukrani kwa kutujuza mwaya
  Antibiotics mie huwa sizitumiii mpk ushauri wa dk
   
 5. c

  chetuntu R I P

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thanx . Nimewasambazia na wengine.
   
 6. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nimekusoma, nimekuelewa!!! thanks sana tu!!
   
Loading...