Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 680
- 1,338
Bajeti za Madawa kutoka Billion 34 mpaka sasa Billion 270
80% vijiji vyote vimepata Umeme
Tatizo la Umeme linakwenda kuwa historia kupitia mradi kubwa wa Stigles pale Rufiji ambao utatoa Megewati 2015
SGR itakwenda kuwa mkombozi kwa Nchi zaidi ya nane ambao baadhi yao miaka ya nyuma walitukimbia kwasababu ya ubabaishaji mkubwa Bandarini
Wafanyakazi hewa sasa ni Historia na Serikali kupitia Dr John Pombe Magufuli imekoa billion za kutosha ambazo sasa zinaingia sehemu nyingine
Ubasharifu wa pesa za umma na matumizi mabovu kwa watendaji sasa hakuna tena
Sector ambayo tuliumizwa vibaya ya Madini sasa hivi tumeanza kunufaika nayo na majuzi tu tumepokea Gawio la billion 100 kupitia win win situation
Miundombinu kama barabara sasa hivi Tanzania kunafikika kila eneo
Maji watu wengi wanapata maji safi na salama ingawa kuna changamoto ambazo ziaenda kuisha muda si mrefu
Serikali iko mbioni kupeleka muswada Bungeni ila sasa kila Mtanzania aweze kuwa na Bima ya afya
Elimu bure inaendelea kutolewa na zaidi sasa ni maboresho kama vifaa na stahiki za Walimu ndodondogo ambazo Serikali inazifanyia kazi na zingine tayari zimepatiwa ufumbuzi
Vituo vya afya vinajengwa kwa kasi kubwa kila kijiji na kata ili kumuondolea Mtanzania adha ya kusafiri mbali kutafuta huduma hasa mama zetu
Yako mengine mengi sana ya kumuelezea Dr John Pombe Magufuli kuwa anastahili kuchaguliwa tena na zaidi kupata kura za kishindo tarehe 28 October 2020