Uchaguzi 2020 Tarehe 28 Oktoba 2020! Kura yako ni kwa Mgombea John Pombe Magufuli kupitia Chama cha mapinduzi (CCM)

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
679
1,337
Bajeti za Madawa kutoka Billion 34 mpaka sasa Billion 270

80% vijiji vyote vimepata Umeme

Tatizo la Umeme linakwenda kuwa historia kupitia mradi kubwa wa Stigles pale Rufiji ambao utatoa Megewati 2015

SGR itakwenda kuwa mkombozi kwa Nchi zaidi ya nane ambao baadhi yao miaka ya nyuma walitukimbia kwasababu ya ubabaishaji mkubwa Bandarini

Wafanyakazi hewa sasa ni Historia na Serikali kupitia Dr John Pombe Magufuli imekoa billion za kutosha ambazo sasa zinaingia sehemu nyingine
Ubasharifu wa pesa za umma na matumizi mabovu kwa watendaji sasa hakuna tena

Sector ambayo tuliumizwa vibaya ya Madini sasa hivi tumeanza kunufaika nayo na majuzi tu tumepokea Gawio la billion 100 kupitia win win situation

Miundombinu kama barabara sasa hivi Tanzania kunafikika kila eneo

Maji watu wengi wanapata maji safi na salama ingawa kuna changamoto ambazo ziaenda kuisha muda si mrefu

Serikali iko mbioni kupeleka muswada Bungeni ila sasa kila Mtanzania aweze kuwa na Bima ya afya

Elimu bure inaendelea kutolewa na zaidi sasa ni maboresho kama vifaa na stahiki za Walimu ndodondogo ambazo Serikali inazifanyia kazi na zingine tayari zimepatiwa ufumbuzi

Vituo vya afya vinajengwa kwa kasi kubwa kila kijiji na kata ili kumuondolea Mtanzania adha ya kusafiri mbali kutafuta huduma hasa mama zetu

Yako mengine mengi sana ya kumuelezea Dr John Pombe Magufuli kuwa anastahili kuchaguliwa tena na zaidi kupata kura za kishindo tarehe 28 October 2020

Alex Fredrick
FB_IMG_1602824048384.jpeg
IMG_20190414_175310_271.jpeg
 
Alex FredrickView attachment 1606124View attachment 1606125
Unaumwa kichaaa wewe siyo bure
 
Rais ni Tundu Lissu!
Huyo kichaa mchague wewe
 
Mkuu hilo limeshapita kura zote za wapenda maendeleo ya nchi hii ni kwa Mzalendo mwenzao Magufuli.

October 28th Watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi tukaichague CCM kwa KISHINDO.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Bajeti za Madawa kutoka Billion 34 mpaka sasa Billion 270

80% vijiji vyote vimepata Umeme

Tatizo la Umeme linakwenda kuwa historia kupitia mradi kubwa wa Stigles pale Rufiji ambao utatoa Megewati 2015

SGR itakwenda kuwa mkombozi kwa Nchi zaidi ya nane ambao baadhi yao miaka ya nyuma walitukimbia kwasababu ya ubabaishaji mkubwa Bandarini

Wafanyakazi hewa sasa ni Historia na Serikali kupitia Dr John Pombe Magufuli imekoa billion za kutosha ambazo sasa zinaingia sehemu nyingine
Ubasharifu wa pesa za umma na matumizi mabovu kwa watendaji sasa hakuna tena

Sector ambayo tuliumizwa vibaya ya Madini sasa hivi tumeanza kunufaika nayo na majuzi tu tumepokea Gawio la billion 100 kupitia win win situation

Miundombinu kama barabara sasa hivi Tanzania kunafikika kila eneo

Maji watu wengi wanapata maji safi na salama ingawa kuna changamoto ambazo ziaenda kuisha muda si mrefu

Serikali iko mbioni kupeleka muswada Bungeni ila sasa kila Mtanzania aweze kuwa na Bima ya afya

Elimu bure inaendelea kutolewa na zaidi sasa ni maboresho kama vifaa na stahiki za Walimu ndodondogo ambazo Serikali inazifanyia kazi na zingine tayari zimepatiwa ufumbuzi

Vituo vya afya vinajengwa kwa kasi kubwa kila kijiji na kata ili kumuondolea Mtanzania adha ya kusafiri mbali kutafuta huduma hasa mama zetu

Yako mengine mengi sana ya kumuelezea Dr John Pombe Magufuli kuwa anastahili kuchaguliwa tena na zaidi kupata kura za kishindo tarehe 28 October 2020

Alex FredrickView attachment 1606124View attachment 1606125
Kampigie mwenyewe usituamulie tunajua cha kufanya aache kutuhadaha

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Tumechoka na dikteta. Tumechoka na mdhalilishaji. Tumechoka kutukanwa na kudharauliwa. Usipoteze kura yako kwa kumchagua tena dhalimu. Kura zote kwa Lissu.
 
Serikali iko mbioni kupeleka muswada Bungeni ila sasa kila Mtanzania aweze kuwa na Bima ya afya
Sidhani kama una akili sawasawa au hukataka kufanya kautafiti kdg! Bima ya afya ambayo watu wanakatwa kila mwezi sasa matibabu ya bure ni malaria TU! matibabu mengine na dawa unaambiwa kanunue mfuko wa bima umejitoa!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom