Tarehe 19 leo payroll zinasomaje?

Tarehe 19 leo payroll zinasomaje?

Kama atakatwa Kodi ya 77,500 mwanzoni alikuwa anakatwa ngapi? Ili tujue kama hao watumishi mmewasaidia au mmezidi kuwaumiza?
Akikujibu utanistua nipo mahali nakunywa pombe za kienyeji bia siwez tena Ila mm ni civil servant permanent and pensionable
 
Leo ni tarehe 19 ya mwezi wetu pendwa wa 7 kwa watumishi wa umma,kuna badiliko lolote?
Mimi nina gross ya 10+ m baada ya calculation mpya ya Kodi kwenye take home yangu imeongezeka elfu 51 tu
 
Kueni wazalendo watumish wa Umma, Kuna mambo mengi ya kufanya zaidi ya hiyo mishahara yenu
Mkuu hebu na wewe uwe na shukrani ,mbona Watumishi wamevumilia kipindi kirefu tu,Miaka mitano wamevumilia,wamekuwa km kondoo anayepelekwa machinjioni,sasa unataka wafanye nin?.
 
22500+ 20% ya kiwango kinachozidi 270,000

Mfano:
mwenye mshahara wa 520,000
520,000- 270,000= 250,000

20% ya sh. 250,000= 50,000

Kwahyo inakua 22,500+50,000= 77,500

Hivyo,
Kwa mshahara wa 520,000 atakatwa Kodi ya sh. 77,500



Ndugu, hesabu ya payee hupigwa baada ya mshahara kukatwa NSSF.
 
Acha dharau kiongozi. . Mwisho wa siku kila mtu anaendesha maisha yake kwa majaliwa ya Mungu....
Sina dharau bob. Mm mwenyewe nishapakia makreti ya coca semi tatu kwa siku kila siku hivyo naelewa maisha.
 
Kueni wazalendo watumish wa Umma, Kuna mambo mengi ya kufanya zaidi ya hiyo mishahara yenu
Anual increment sio Msaada wala offer ni haki,,, ukimnyima stahiki yake mtumishi wa umma tegemea kuzorota kwa huduma yake kwa jamii,,na kuongezeka kwa vitendo vya Rushwa ...MWANANCHI ndo mhanga wa yote.. Asiongeze tu make tangu tustuke 2017 tufanya hivi masaa 4 kazini yanayo baki,, mtaani kusaka Riziki ,,, TUNA obey "Le chateries principle"
" If one of the factor up on which the equilibrium depend is altered the equilibrium Will shift so as to counter balance the effect of change" Kesho naanzia shambani kupulizia mikorosho Job navizia saa 4!..
 
Acheni kusikiliza maneno ya wahuni, vijana wa UVCCM. Hakuna nyongeza kwenye mshahara wa mtumishi Wa umma kwa namna yoyote ile, Huo ndio ukweli.
Maana kuna vijana wanajifanya kucalculate payee deduction sijui upumbavu gani.
Ninasema kwa uhakika
 
Akikujibu utanistua nipo mahali nakunywa pombe za kienyeji bia siwez tena Ila mm ni civil servant permanent and pensionable
Mwanzo PAYE ya level ya mshahara huo ilikua 98000 na pointi zake kwa sasa ni 77,500 ukichukua 98,000 -77,500 = 25,000 tupo sawa hapo
 
Back
Top Bottom