Mai-Ndombe
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 542
- 833
Leo ni tarehe 19 ya mwezi wetu pendwa wa 7 kwa watumishi wa umma,kuna badiliko lolote?
Na njaa hii kazi hazipigiki hata chembe. Ha ha..badiliko hamna, tupige kazi
Acha dharau kiongozi. . Mwisho wa siku kila mtu anaendesha maisha yake kwa majaliwa ya Mungu....Kada gani serikalini anapokea mshahara wa 270000 kwa mwezi. Hiyo si mishahara ya vibarua wa Mo wabeba unga na ndoo za mafuta ya kula
Maelezo mbona yanajitosheleza kabisa ayo chief,
Kwa mf hapo kwenye 520,000-760,000 hiyo 22,500 nini?Maelezo mbona yanajitosheleza kabisa ayo chief,
Ni wapi wapi hujaelewa ueleweshwe
ongezeko utakatwa kodi hiyo