Tarehe 11/11/11 katika kumbukumbu

Tarehe 11/11/11 katika kumbukumbu

Vinci

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2009
Posts
2,637
Reaction score
676
WanaJF wale watakaofanya jambo au tukio muhimu la kuweka kumbukumbu kama harusi, kuoa au kuolewa,kupata mtoto, atakaepata mchumba, kuachwa au kuacha...matukio yoote ya furaha na huzuni wasiache kutujuza
 
alaaa....orait orait....
mimi nadhani nitajifungua.....

Amazing enough kwangu mimi kesho nina interview 2 tofauti katika maeneo mawili tofauti na kwa mfumo ambao utaniwezesha kuhudhuria zote...........nataka ku-change carrier
 
kwani tarehe ni 11/11/11 ama ni 11/11/2011 kwanini hiyo 11-11-11 hamkui consider 20?? unajua kinajimu hesabu haziwi hivo???

(basi hapa mikenge mwitu itadhani mi ni mrithi wa godfather wake zumbukuku pale magogoni mnamuita jahaya sijui yahay..Mpssxxy
 
Good news Mkuu....wish you all the best.
Amazing enough kwangu mimi kesho nina interview 2 tofauti katika maeneo mawili tofauti na kwa mfumo ambao utaniwezesha kuhudhuria zote...........nataka ku-change carrier
 
We had
1-1-1
2-2-2
3-3-3
4-4-4
5-5-5
6-6-6
7-7-7
8-8-8
9-9-9
10-10-10
and now 11-11-11
HAKUNA JIPYA NI TAREHE TU
next year 12-12-12
THE END.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom