Tarehe 1 Mwezi Wa 7

Jul 1, 2016
52
32
Mkumbuke hiyo tarehe maana JF toka nimeanza kuijua mwaka 2010 nipo kidato cha tano pale Minja secondary school tarehe 1 mwezi 7, 2016 ndio nimeweza ku~log in nakushare matatizo ya jamii yetu. Nashukuru Sana kwa maombi yenu na tuondelee kuombeana mema
 
Back
Top Bottom