Tarehe 1 mwezi 1 mwaka 11

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Wajameni, leo tuna sherehekea kuanza kwa mwaka mpya,lakini tofauti na sikukuu nyingine siku ya leo inasomeka kwa namna ya pekee. : 1 :1 : 11. Ni siku ya kipekee kabisa, je kuna mwenye uelewa wwt juu ya maajabu ya siku hii?, nawatakia heri na mafanikio wana jf wote ili tuendelee kupashana habari kwa upana zaidi.
 
Hakuna Maajabu yeyote
 
Mwaka huu vile vile kutakuwepo tarehe zifuatazo:
11:1:11 na 11:11:11 kwa hiyo apo kazi ipo!
 
Mwaka huu vile vile kutakuwepo tarehe zifuatazo:
11:1:11 na 11:11:11 kwa hiyo apo kazi ipo!

hebu tujikumbushe yaliyopita: tarehe 8:8:08 saa sita usiku huko korea zilifungwa ndoa nyingi kwa amadai kuwa ilikuwa siku na saa ya bahati.
 
kama ulizaliwa tarehe na mwezi kama hizo... inaashiria mafaniko hiyo siku.
Pia katika ilm ya namba (Numerology) kuna kitu inaitwa Root Number...1-9
Hivvo kama umezawa 1.1 mwaka unaacha..1+1=2 Moon.
Itakua imehusisha pia siku ya j3.
Kuchanganya namba COMPOUND NUMBER...NDIO nlioifanya ili iwe kwenye asili.
 
Back
Top Bottom