Tarehe 1/1/2016 tuje Ngarash Mzee?

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,487
Miaka iliyopita tulikuwa tunaenda kwa Mzee wetu na Mfalme wa Monduli Lowasa kule Ngarash kila tarehe 1/1 kula nyama na kunywa vinywaji mbalimbali.

Mwaka ujao tuje kama kawa mzee? Wengine tupo mikoani taarifa za mapema ni muhimu mzee wetu Mfalme wa Monduli maana safari hii zimechelewa sana.
 
Mwacheni mzee wa watu apumzike jamani,mmetosha kumdanganya.

Kama shida ni kuzungusha mikono zungusheni huko huko mliko wala hakuna haja ya kufika ngarash na kama mtaenda kila mmoja abebe kibuyu chake cha maziwa na unga ni muda wa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.
 
Miaka iliyopita tulikuwa tunaenda kwa Mzee wetu na Mfalme wa Monduli Lowasa kule Ngarash kila tarehe 1/1 kula nyama na kunywa vinywaji mbalimbali.

Mwaka ujao tuje kama kawa mzee? Wengine tupo mikoani taarifa za mapema ni muhimu mzee wetu Mfalme wa Monduli maana safari hii zimechelewa sana.

Mkuu mbona umewaza kwa kiwango cha chini hivi..ok usizoe kula nyama za bure kuna siku utakula nyama ya mtu..
 
Miaka iliyopita tulikuwa tunaenda kwa Mzee wetu na Mfalme wa Monduli Lowasa kule Ngarash kila tarehe 1/1 kula nyama na kunywa vinywaji mbalimbali.

Mwaka ujao tuje kama kawa mzee? Wengine tupo mikoani taarifa za mapema ni muhimu mzee wetu Mfalme wa Monduli maana safari hii zimechelewa sana.

Njoo na familia yako mtakula,mtakunywa na kusaza
 
mzee wa ngarash anagundu sana, ameusotea uraisi sana hadi anatia huruma
 
Back
Top Bottom