Taratibu zipi zinafaa mtu kuhama chuo?

Taratibu zipi zinafaa mtu kuhama chuo?

Camel2

Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
12
Reaction score
9
Naomba kufahamu iwapo kuna mtu alikuwa anasoma chuo kipo A lakini kutokana na changamoto hakuweza kumalizia kutokana na majukumu. Siwezi kuwa naendelea na Masomo katika chuo hicho nataka nikahamie sehemu iliyo karibia na sasa ni mwaka wa 4 anataka kuhama chuo chenye course zinazoendana ili kuweza kukamilisha ndoto yake.

Mfano Masomo yaliyobakia ni ya Semester ya Mwisho na ya mwaka wa mwisho.

Naomba ushauri tafadhali
 
Back
Top Bottom