Taratibu za kusoma CPA Tanzania

Taratibu za kusoma CPA Tanzania

mzalendo01

Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
53
Reaction score
36
Habari zenu mimi nimemaliza bachelor of commerce in accounting and taxation nataka kusoma CPA, jee taratibu zake zitoke na wapi nitapata usajili? ? Na ada zake zipo vipi?? Na stage ipi nitaanza waungwana ningeomba munihabarishe kuhusu hii kitu.

Asanteni
 
Nenda ofisi za board ya uhasibu na ukaguzi wa mahesabu(NBAA) posta jirani na maktaba kuu ya taifa au chuo cha elimu ya watu wa wazima utapewa maelekezo kwa kina.....na the best review centre kwaajili ya kusoma ni mnazi mmoja primary school kwa Edson au Babito....
 
Asante sana kaka ningeomba kama kuna mtu Ana jua ada zake na maelezo yake kabla sijafika ofisini kwao
 
Nenda NBAA watakupa full details
 
Bcom accounting utaanzia intermediate level,,bcom finance utaanzia foundation level
 
Mambo yamebadilika kwa wale waliosoma finance......
Hawatasoma masomo yoye ya foundation..
Unaweza soma mawili au matatu inategema chuo ulisoma kitu masomo ganii..
Kwa hivo transcript yako itaitajika..
 
Back
Top Bottom