marion09
Member
- Sep 26, 2012
- 80
- 57
Wadau habari za weekend.
Mimi ni mfanyakazi katika taasisi fulani isiyo ya kiserikali na kupitia mshahara wangu na mwajiri huwasilisha michango yangu NSSF. Hivi karibuni nimesikia kuwa NSSF wanatoa mikopo kupitia SACCOS, hivyo basi wadau naomba kufahamishwa taratibu za kupata mkopo inayotolewa na NSSF kupitia SACCOSS.
Hayo ni baadhi ya maswali yangu, lakini pia ningependa kufahamishwa zaidi nje ya maswali hayo kuhusu mikopo inayotolewa na NSSF kupitia SACCOS pale itakapobidi.
Ahsanteni wadau

- Je? Inachukua muda gani kuipata mikopo hiyo mara baada ya kukamilisha taratibu zote
- Riba ni kiasi gani?
- Muda wa ukomo wa kurejesha ni upi?