Taratibu za kupata mikopo inayotolewa na NSSF kupitia SACCOS

marion09

Member
Sep 26, 2012
80
57
Wadau habari za weekend.

Mimi ni mfanyakazi katika taasisi fulani isiyo ya kiserikali na kupitia mshahara wangu na mwajiri huwasilisha michango yangu NSSF. Hivi karibuni nimesikia kuwa NSSF wanatoa mikopo kupitia SACCOS, hivyo basi wadau naomba kufahamishwa taratibu za kupata mkopo inayotolewa na NSSF kupitia SACCOSS.

  1. Je? Inachukua muda gani kuipata mikopo hiyo mara baada ya kukamilisha taratibu zote
  2. Riba ni kiasi gani?
  3. Muda wa ukomo wa kurejesha ni upi?

Hayo ni baadhi ya maswali yangu, lakini pia ningependa kufahamishwa zaidi nje ya maswali hayo kuhusu mikopo inayotolewa na NSSF kupitia SACCOS pale itakapobidi.

Ahsanteni wadau
 
lazima uwe mwanacha wa NSSF na saccos kwako, wenye jukumu la kuomba mkopo ni saccos yako then wewe unapatiwa na saccos yako, muda ni miezi 60 na 24 kiasi ni mara tano ya akiba zako saccos riba ni 9
 
Kama nilivyojieleza awali mimi ni mwanachama wa NSSF na kwa zaidi ya mwaka mmoja nimekuwa nikiwasilisha michango yangu. Je? inachukua muda gani baada ya kukamilisha taratibu zote kupata huo mkopo, hakuna urasimu wowote?

Ahsante
 
mbona frema120 kakuelezea vzr! mwenyejukumu la kwenda kukopa nssf ni saccos yako alafu ww unakwenda kukopa kwenye saccos yako kulingana na sheria zenu,uwaraka wa kuzipata hizo pesa inategemea wafanyakazi wa saccos yenu.
 
Nashukuru mkuu..
 
Back
Top Bottom