Taratibu za kufuata ili kupata TIN Number

Hawa wanafunzi walio field na wahitimu walio jitolea ndo hua wajeuri sana, na wateja wetu wa leseni baadhi hua wajeuri mno kukuonyesha leseni yake wakati akijua imeisha muda wake.
Hahaaa kwa iyo ndo watukomesha kisa wapo field jamani wawe Na huruma
 
Ila nimejifunza apa hii awamu sio ya mchezo mchezo lakini sisi ambao ndo tunaanza jiajiri wawe wanatuonea huruma maisha magumu sana jamani nikifunga Na hii biashara ntaishije sasa
 
Ukizubaa watakupiga "wenyewe wanaita ya serikali"
Doh apo mkuu naona dalili za kuifunga hii biashara sio kwa hii faini alafu sikuwa Na Nia ya kutokata sema tu biashara yangu inategemea sana wanafunzi kipindi vyuo vimefungwa Hali ilikuwa mbaya sana nisingeweza lipa hata iyo pesa ya leseni kwa Sasa naweza jikusanya kidogo kidogo nikalipe lakini hii faini siiwezi
 
Hapana usiifunge, pesa yako ya leseni sio kubwa ila hiyo laki nne si halali. Au uligombezana nao wakati mna elekezana ulipaji wa leseni?
 
Ushauri wangu{japokuwa utavunja sheria ila huna jinsi}nina imani huyo aliekuachia hiyo karatasi na number yake ya simu amekuachia huwa wanaziandika hapo mtafute huyo huyo ukae nae chini myajenge,mara nyingi case huzipeleka kwenye system baada siku kadhaa wakiona respond yako ni ndogo so atakuondolea issue ya faini kisha utajaza form za kuomba leseni mpya na kwa7bu mtakuwa mmeshakuwa marafiki atakuelekeza njia zote za kufanya ikibidi ataingia front kukusaidia ili upate leseni mapema uendelee na biashara yako,yaani utajifanya kama ndiyo unaanza kufungua hiyo biashara mpya kwa ada ya biashara unayoifanya.mara nyingi faini huwa kubwa hivyo kwa7bu hujumlisha hela ya gari inapokufuata nadhani ni Tsh50,000/= na kisha kunakuwa na riba ya ile ada unayodaiwa ambayo ulipaswa uilipe toka mwezi wa saba mwaka wa kiserikali ulipoanza na ukiwaambia biashara nimeifungua miezi miwili tu nyuma huwa hawaamini.note:zaidi ya hela yake ya vocha utakayompa usimpe nyingine yoyote hiyo ada akiishakukadiria hakikisha unaenda kuilipa mwenyewe either bank au kwenye dirisha husika na risiti halali upewe.good luck chief.
 
Asante kwa ushauri mkuu ngoja nifuate huu
 
Hapana usiifunge, pesa yako ya leseni sio kubwa ila hiyo laki nne si halali. Au uligombezana nao wakati mna elekezana ulipaji wa leseni?
Hapana mkuu Wala hatukugombezana sijui tu walikuwa Wana nini Hawa jamaa leo
 
Ni kweli kazi yao ni kutoa leseni na kutoza faini pia lakini ww tu fika ofisini ujitetee ukiwambia kuwa ulikuwa hufahamu namna ya kulipia leseni na unapenda kutoa michango ya maendeleo na hapo hapo uwaambie kuwa mtaji wako ni mdogo huwez kupata hata cash hyo wanayoidai kama faini na endapo ikitokea ukaipata utakuwa umefunga biashara hautakuwa na pa kuanzia tena... Ongea nao yataisha hao hawana ubaya zaidi kama tra maana manispaa ikishindikana unazuiwa kufanya biashara kwenye wilaya yao lakn tra ndo wabaya zaidi wakiamua wanakufilisi sekunde moja tu.

NB: Inategemea na kadirio la manispaa hiyo ktk leseni maana zinatofautiana viwango vya tozo wilaya zngne ni Tsh,20,000 , 50,000 , _200,000 na kuendelea. Ongea nao ila uwe mpole ukiwa unaongea nao usijfanye mjuaji sana ila chunga haki zako tu usikandamizwe wala kuonewa maana kuhoji na kutoa maoni ni haki yako na wewe ndo boss wao kama mteja so simamia haki usitetereke.
 
Shukrani boss
 
Wakuu habari za jioni

Naombeni msaada nimepatwa Na tatizo kwenye kiofisi changu wadau watu wa manispaa wamekuja funga ofisi Sina leseni

Sasa tatizo linakuja jamaa wananiambia nilipe faini laki nne Na nusu yani wameweka pesa ya faini Na leseni, kwel jamani ni haki biashara yenyewe kwa siku ikiwa nzuri napata elfu ishirini tu naitoa wapi iyo pesa Na biashara nimeianza mwezi wa tatu mwaka huu

Hata kama ni kukusanya mapato Basi watoe faini zinazofanana Na uhalisia hiki wanachokifanya ni kutaka kuturudisha nyuma kabisa ambao tumeanza jiajiri

Kwa wenye uzoefu naombeni mnisaidie ushauri nianzie wapi wamenipa karatasi ambalo wameandika iyo faini linanipa mashaka hata Mimi naweza enda stationary nikatengeneza mana halina kiashiria chochote kama ni la manispaa

Nawasilisha

Pole sana ndugu
 
hivi na kwa mawakala wa m pesa, tigo pesa nk.. nao wanalipa kodi direct tra???
 
Back
Top Bottom