TARATIBU ZA KUAGIZA MAYAI AU VIFARANGA TOKA NJE YA NCHI

KIJANA2013

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
466
200
Wadau ni matumaini yangu mmeamka salama na mnaendelea kulijenga Taifa.

Naomba msaada wenu kwa anayefahamu ni utaratibu upi unahitajika ili kuruhusiwa kuingiza mayai nchini toka nje ya Tanzania. Pia naomba utaratibu wa kuagiza vifaranga.

Natanguliza Shukrani zangu za dhati kwa michango yenu ya mawazo

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom