MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Wee jamaa kama vile ulikuwa kichwani mwangu...Dr kawakata mikia hao mamluki wawili.Dr Bashiru ana akili sana, yule character wa The Gods Must Be Crazy Humphrey Polepole hasikiki tena siku hizi na upoyoyo wake, pia Paul Makondakadhibitiwa alitaka kuona chama ni cha kwao, Bashiru kamsukumia kando
Haaa haaa we jamaa umenichekesha, hii condition ya kuambatana na shetani ni noma snUkiwa CCM unatakiwa uwe mnafiki na mwongo.......
Ukiwa wewe ni mtu wa kumwogopa Mungu na msema ukweli na unapenda haki itamalaki bila kujali itikadi zetu za kisiasa, hakika utaitwa majina mabaya kuwa wewe si mzakendo na unatumika na mabeberu.
Ukiwa CCM ni condition mojawapo kuwa ni LAZIMA uambatane na shetani