zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
- Thread starter
-
- #21
Waooooo!!
Waooooo!!
Shemeji yangu jamani,
pole sana kwa suluba za gerezani.
Ila ukupigao ndio ukufunzao.
Nilikumisije jamani shemu langu!!
Unasalimiwa na ruttashobolwa wangu.
Japo kuna Arushaone nae.
Shostiiiii,
kama nakuona vile unavyojiachia na Shemeji langu.
Hebu mpoze machungu ya Ban.
Afu jioni nimewaandalia Party.
jamani shemeji la ukweli umerudi tulikumiss yaani sister alikonda kwa mawazo nikaanza ratiba ya uji wa ulezi lol....
My wife angalia utaratibu wa kufanya pati.... .
Shostiiiii,
kama nakuona vile unavyojiachia na Shemeji langu.
Hebu mpoze machungu ya Ban.
Afu jioni nimewaandalia Party.
jamani my dia najaribu kumpa alivyovikosa.. Ahsante shostii tutakuja usijali
Shemeji langu la Nguvu,Ahsante sana,nimefika salama,dhoruba la gereza liligonga mwamba hapa...
karibu ndugu.
karibu ndugu.
jaman niko kwenye maandalizi mie tena
madame nae ameandaaa mcheki iwe ya kuvunja na shoka ili walionifanyia mbaya roho zao ziwauume
Baaada ya kumaliza Likizo yangu niliyopewa kwa uonevu,sasa nimerudi kwa nguvu mpya,Mlo mpya,kushiba kule kule....
na uchakachuaji je? au huo umeacha?
Hebu :gossip: nami niwajue.
Pole sana mkuu.
Naomba kuuliza, nasikia gerezani mitandao mingine haikamati network ni 0713 tu...
Je, uvumi huu ni kweli? Na kama ndiyo, uli....ngoja kwanza nijibu hilo swali la msingi.
What doesnt kill you makes you stronger.
Ndo umekuja na miguvuuu, utalima lami?
uchaka chuaji wa mbegu au mafuta