Taraaaaaaa...tiiiiibuuuu.....N aingiaaa mjengönii

Shostiiiii,
kama nakuona vile unavyojiachia na Shemeji langu.
Hebu mpoze machungu ya Ban.
Afu jioni nimewaandalia Party.

Arabela kaniganda jamani hapa hata sebulen hataki niende alöne...hata mim nime mumis sana jamani...twajiandaaa na Party hyo.
 
Pole sana mkuu.
Naomba kuuliza, nasikia gerezani mitandao mingine haikamati network ni 0713 tu...
Je, uvumi huu ni kweli? Na kama ndiyo, uli....ngoja kwanza nijibu hilo swali la msingi.
 
Pole sana mkuu.
Naomba kuuliza, nasikia gerezani mitandao mingine haikamati network ni 0713 tu...
Je, uvumi huu ni kweli? Na kama ndiyo, uli....ngoja kwanza nijibu hilo swali la msingi.

mi nilikuwa private room...kama ile ya zombe...msosi arabela full kureta
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom