Kwanini Mbagala haina hoteli ya kitalii au fukwe?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wadau hamjamboni nyote?

Nimerudi kwenu kwa mada mpya kidogo ihusuyo ene la Mbagala.

~ Huko hakuna hoteli ya kitalii.
~ Huko hakuna beach.
~ Huko hakuna makazi maalimu ya wakubwa.
~ Huko hali hewa ni joto muda Mwingi.
~ Huko muda wote kuna msongamano.
~ Huko muda mwingi huwezi ona mtu kavaa suti na briefcase.

Nauliza kwanini iwe hivyo? Ni bahati mbaya?

Wakuu karibuni tujadili.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimerudi kwenu kwa mada mpya kidogo ihusuyo ene la Mbagala.
Huko hakuna hoteli ya kitalii.
Huko hakuna beach,
Huko hakuna makazi maalimu ya wakubwa.
Huko hali hewa ni joto muda Mwingi.
Huko muda wote kuna msongamano.
Huko muda Mwingi huwezi on a MTU kavaa suti Na briefcase.

Nauliza kwanini iwe hivyo? No bahati mbaya?

Waku karibuni tujadili.
wakikujibu nitag
 
Kijichi kuna bahari wewe,mbagala kuu ,mgeni nani vikunai,bahari ipo
Wewe pumbavu kijichi sehemu ipi kuna bahari? Mgeni nani na Mbagala kuu? Wadanganye wasukuma wenzio.

Kwa taarifa yako mimi nakaa Chekechea mikwambe njia napita kila siku ni hiyo ya kijichi, Mgeni, Mbagala kuu natokea Zakhiem.

Ukiwa hujui jambo kaa kimya. Sasa niambie bahari ipo sehemu gani?
 
uwezo wako ni mdogo kwani beach huwa zinapatikana pembeni ya bahari, moto na maziwa jiulize kama mbagala Ina sifa hizo. swali lako ni sawa na kuuliza kama Gongolamboto Kuna beach au Ubungo Kuna beach.
mwulize Dodoma kuna beach? Ukiambiwa watanzania bado sana mnakataa, watu wanajifanya wajanja mtu hajui maana ya beach. Ndio maana unakuta baa kimara imeandikwa kimara beach and resort
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimerudi kwenu kwa mada mpya kidogo ihusuyo ene la Mbagala.

~ Huko hakuna hoteli ya kitalii.
~ Huko hakuna beach.
~ Huko hakuna makazi maalimu ya wakubwa.
~ Huko hali hewa ni joto muda Mwingi.
~ Huko muda wote kuna msongamano.
~ Huko muda mwingi huwezi ona mtu kavaa suti na briefcase.

Nauliza kwanini iwe hivyo? Ni bahati mbaya?

Waku karibuni tujadili.
Mleta mada unajua maana ya "Fukwe"? Sehemu inakuwaje na fukwe ikiwa hakuna waterbodies kama Bahari, Ziwa n.k? Kwani kariakoo kuna fukwe?
Pili mbagala inakuwaje na Hotel za kitalii ikiwa maeneo ya mbagala hayana vivutio vya kitalii kama mbuga za wanyama, maeneo ya kihistoria au sehemu za makumbusho n.k? Au unadhani hotel za kitalii zinajengwa mahali popote tu ili kufurahisha wenye upeo mdogo wa kufikiria kama wewe?
Unalamikia mbagala kuwa na msongamano umewahi kujiuliza msongamano wa magari unasababishwa na nini?
Ngoja nikusaidie mdogo wangu, ukiona sehemu ina msongamano wa magari ujue hakuna uwiano bora wa miundombinu ya usafiri na idadi ya vyombo vya usafiri vilivyopo. Ndiyo maana Serikali inapambana kufanya upanuzi wa barabara maeneo mbalimbali ili kuwe na miundombinu inayoweza kuratibu wingi wa vyombo vya usafiri vinavyotumia njia husika.
Hata maeneo kama ubungo, mwenge, tazara kulikuwa kuna changamoto ya msongamano wa magari kabla njia hizo hazijaboreshwa miundo mbinu ya barabara.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimerudi kwenu kwa mada mpya kidogo ihusuyo ene la Mbagala.

~ Huko hakuna hoteli ya kitalii.
~ Huko hakuna beach.
~ Huko hakuna makazi maalimu ya wakubwa.
~ Huko hali hewa ni joto muda Mwingi.
~ Huko muda wote kuna msongamano.
~ Huko muda mwingi huwezi ona mtu kavaa suti na briefcase.

Nauliza kwanini iwe hivyo? Ni bahati mbaya?

Waku karibuni tujadili.
Kijichi kuna bahari wewe,mbagala kuu ,mgeni nani vikunai,bahari ipo
Usishindae nae huyu dogo hajitambui. Inavyoonekana ni mgeni hapa town na usikute hata anaishi kwa hisani ya shemeji yake baada ya dada yake kutumikishwa usiku.
 
Mleta mada unajua maana ya "Fukwe"? Sehemu inakuwaje na fukwe ikiwa hakuna waterbodies kama Bahari, Ziwa n.k? Kwani kariakoo kuna fukwe?
Pili mbagala inakuwaje na Hotel za kitalii ikiwa maeneo ya mbagala hayana vivutio vya kitalii kama mbuga za wanyama, maeneo ya kihistoria au sehemu za makumbusho n.k? Au unadhani hotel za kitalii zinajengwa mahali popote tu ili kufurahisha wenye upeo mdogo wa kufikiria kama wewe?
Unalamikia mbagala kuwa na msongamano umewahi kujiuliza msongamano wa magari unasababishwa na nini?
Ngoja nikusaidie mdogo wangu, ukiona sehemu ina msongamano wa magari ujue hakuna uwiano bora wa miundombinu ya usafiri na idadi ya vyombo vya usafiri vilivyopo. Ndiyo maana Serikali inapambana kufanya upanuzi wa barabara maeneo mbalimbali ili kuwe na miundombinu inayoweza kuratibu wingi wa vyombo vya usafiri vinavyotumia njia husika.
Hata maeneo kama ubungo, mwenge, tazara kulikuwa kuna changamoto ya msongamano wa magari kabla njia hizo hazijaboreshwa miundo mbinu ya barabara.
👍👍
 
Kij
Wewe pumbavu kijichi sehemu ipi kuna bahari? Mgeni nani na Mbagala kuu? Wadanganye wasukuma wenzio.

Kwa taarifa yako mimi nakaa Chekechea mikwambe njia napita kila siku ni hiyo ya kijichi, Mgeni, Mbagala kuu natokea Zakhiem.

Ukiwa hujui jambo kaa kimya. Sasa niambie bahari ipo sehemu gani?
Pumbavu kumbe unakaa mbagala kwa wajinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom