tapeli wa mahaba teh!
lugha imefanyanini?mmmh!!! Hizi lugha jaman......
Muulize Diamond Platinum - http://www.google.co.tz/url?url=htt...twIwAQ&usg=AFQjCNFbGBmKrkKzc9Md-m46Z-aqCxB_FQ
ila hata humu JF wapo pia.
sentensi yangu inasema 'utapeli wa wapenzi kwenye mapenzi, umeshamiri sana'embu tunga sentensi moja juu ya utapeli wa kimapenzi uone kama hutaweka neno mapenzi badala ya wapenz. Jaribu...
kama mimi vile yani