Tapeli wa Mapenzi..Moshi

Dini yake inamruhusu aoe hadi wangapi?? Ila kwa taratibu ni lazima aweze kuwahudumia kimahitaji equally!! Na lazima waliotangulia wabariki, sasa yeye anadanganya hajaoa!!! Atupwe gerezani kwa udhalilishaji!!!
 
Mimi ni shehe ngoja nikupe somo.Uislam unaruhusu wake hata 10 bora tu awalishe,kwetu umalaya hamna, Mungu wetu yule wa Makka na lile jiwe tunaloliita shetani ndio wameleta taabu yote híi.Asalam Aleyekum tuliopotea!
 
kama hii story ni kweli. mi huwaga nina hate sana mijitu ya hivi inayokiuka maadili ya kibinadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…