Sorrow to Joy
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 292
- 59
mi huyo ndio namtaka......anaonekana kidume kweli..........mwanaume wako peke yako huyo si mzima......hebu bwana Isaac naomba mawasiliano ya bwana Salim............
Anaitwa Salim Mohamed Kundyah.
Ni tapeli la kimapenzi ni muhasibu wa Kutayba Saccoss Moshi mjini.
Ameweza kutumia nafasi yake kuoa wanawake zaidi ya watatu kwa nyakati tofauti akiwadanganya hana mke.
Mpaka sasa ana wake wanne kati ya watano aliokuwa naobaada ya mmoja kujivua baada ya kugundua alidanganywa kuwa hakuwa na mke.
Pia anaoa akiangalia maslahi yake . Yaani hatoi huduma yoyote kwa hao wanawake.
Mmoja wa wake zake alimfumania siku ya Idd pili 10/08/2013 katika chumba alichopanga kwa siri juu ghorofani na akamfungia huko kwa muda wa saa sita (6) mpaka kufuli lilipovunjwa akatoka.
Watetezi wa haki za wanawake , wanaume kama hawa wanachukuliwa hatua gani?
Tunaomba msaada wenu kukomesha wanaume matapeli kwani mpaka sasa akiulizwa husema hana mke.....
Kwa Masheikh, kuwa na wake watano kwa wakati mmoja inajuzu?
Ni nini kukumu ya mume anayehadaa wanawake kwa ndoa?
Bwana huyu ni Mshia ingawa anatumia taqiya katika maisha yake yote.
Sijui nimekuwa slow leo! Sijaelewa nia na dhumuni la huu uzi,aliyeelewa anisaidie tafadhali.
Lol!!!!! hapa ni harufu ya umbea tu,,,,,,, hao wake wenzio wanakutisha nini mpaka ulalamike jf???????!!!!
Pambana mwanamke afu mwanaume ujue siku zote si wa peke yako..
umesoma uzi ukiwa offline!!! teh teh!
Hakika! Nasubiri aliyeusoma akiwa online aje anisaidie kuudadavua
kuna ka harufu ka kutemwa hapo ujue!!!
jamaa pamoja na uwembe wake wote lakini amemkataa huyu! kweche kweche kweche!! uuu hahahahaaaa!!! nalog off!
ndio nini tena hii tinna cute ?
alichoandika huyu mleta mada...mi naona nyotanyotasijakuelewa!!!!!!
slogan za watu hizo umelipia kodi? utashtakiwa
c.c Washawasha
Na nyinyi kinamama mmzidi kupapatikia watu bila kufanya uchunguzi wa kinaAnaitwa Salim Mohamed Kundyah.