Tatizo ni pale watu wanapokiuka taratibu za ndoa na kufanya makubaliano binafsi alafu wanaitwa ndoa, tatizo wali-skip mchakato wa awali na kukimbilia ndoa wakaona hakuna haja ya kuhusisha ndugu na jamaa katika hatua za mwanzo especially mahari na taratibu zingine za kufanya zoezi liwe la uhalali na kimsingi ndio ndoa yenyewe huku kwingine tunakwenda kukamilisha zoezi tu. KWELI PESA ZAKE HUYO JAMAA NDIO ZILIZOWAVUTIAKweli jf tuna kazi jamani. Mdanganywe na viherehere vyenu, mjikute mmekuwa wengi na kambale mwenyewe mtoto wa kambale. Mmefuata shurubu zake tuu (Njuluku). Sasa mnaanza kuomba msaaada wa Mashke? Lahaullah lakwat!! Hii imekaale? Ulipomrembulia jitu ziima hukuona kasoro mpaka miaka hiyo halina mke. Hayo hamuangalii mpaka mnamfungia kijogoo wa watu ndani ili mwenzenu afaidi. Nenda na weye wenzio wakufungie humo masaa 12.
Anaitwa Salim Mohamed Kundyah.
Ni tapeli la kimapenzi ni muhasibu wa Kutayba Saccoss Moshi mjini.
Ameweza kutumia nafasi yake kuoa wanawake zaidi ya watatu kwa nyakati tofauti akiwadanganya hana mke.
Mpaka sasa ana wake wanne kati ya watano aliokuwa naobaada ya mmoja kujivua baada ya kugundua alidanganywa kuwa hakuwa na mke.
Pia anaoa akiangalia maslahi yake . Yaani hatoi huduma yoyote kwa hao wanawake.
Mmoja wa wake zake alimfumania siku ya Idd pili 10/08/2013 katika chumba alichopanga kwa siri juu ghorofani na akamfungia huko kwa muda wa saa sita (6) mpaka kufuli lilipovunjwa akatoka.
Watetezi wa haki za wanawake , wanaume kama hawa wanachukuliwa hatua gani?
Tunaomba msaada wenu kukomesha wanaume matapeli kwani mpaka sasa akiulizwa husema hana mke.....
Kwa Masheikh, kuwa na wake watano kwa wakati mmoja inajuzu?
Ni nini kukumu ya mume anayehadaa wanawake kwa ndoa?
Bwana huyu ni Mshia ingawa anatumia taqiya katika maisha yake yote.
Anaitwa Salim Mohamed Kundyah. ni muhasibu wa Kutayba Saccoss Moshi mjini.