Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

kutanisha

Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
10
Reaction score
16
TAPELI.jpg

HUYU JAMAA (MWANAUME) ANAITWA MALIK HUSSEIN RAWJI.

Alikuja ofisini kwangu, akasema anamkutano Beach Comber, alikuwa anahitaji Laptops 10 kwa ajiri ya baadhi ya washiriki wasiokua na Laptop kwa makubaliano ya 60,000 kila computer.

Makubalioano yalikua mimi nazipeleka LAPTOP, NAZISUBIRI, KISHA NARUDI NAZO.

Nilienda na Laptop 10 nikaziunganisha pale Beach Comber nikatoka nje ya ukumbi na kukaa karibu na ukumbi ili ikitokea shida waniite ili niwasaidie. Saa moja lilipita kimya, baadae naenda kuuliza hakuna mtu.

Mkimuona please call me 0713-302 950.
 
View attachment 135068

Team majungu At Work
 
Du pole sana nafikiri utampata maadam picha yake umeipost.
 
Pole mkuu, hiyo ndo bongo darisalamu ile ya dude....ilikuwa inafundisha sana utapeli ya namna hii unavyofanyika. Sasa Mkuu makubaliano yalikuwa mazuri kabisa, ukae hapo ukumbuke uchunge mali zako, sasa ilikuwaje tena ukatoka nje. Na je uliona dalili zozote za kikao, au hata wahudumu wa hapo mahali kwanini wakati unaona unafunga laptop wahusika wa hapo nao walikaa kimya tuu au kulikuwa na mkutano mwingine wa ukweli jamaa akachukua hiyo advantage.
 
peleka polic, zen utaratibu wa kusakwa utafanyika katk vyombo vya habari
 
Polee saaanaaaa, subiri zitarudii laptop zako
 
kwan alitokomea na hzo laptp?ulimfahamje? uliungaje lptp bila uongoz wa bc comber kufaham?yeleuwii na kwan alruka ukuta?
 
Duh! Pole sana kwa kutapeliwa. Nenda karipoti kituo chochote cha polisi kilicho karibu na eneo la tukio, then peleka picha yake na maelezo yako Police CenIral pale Ilala, watakusadia.

bora hazijaenda hizo laptop na siku zote tapeli wake ni moto tu..
 
bado story yake inautata sana na naona kuna vingi vinaupungufu kwenye kuweka maelezo sawa. Isije ikawa tunakusaidia kumkamata mwizi anaekuibia mkeo kwa kisingizio kingine.:tonguez:
 
View attachment 135068

HUYU JAMAA (MWANAUME) ANAITWA MALIK HUSSEIN RAWJI.

Alikuja ofisini kwangu, akasema anamkutano Beach Comber, alikuwa anahitaji Laptops 10 kwa ajiri ya baadhi ya washiriki wasiokua na Laptop kwa makubaliano ya 60,000 kila computer.

Makubalioano yalikua mimi nazipeleka LAPTOP, NAZISUBIRI, KISHA NARUDI NAZO.

Nilienda na Laptop 10 nikaziunganisha pale Beach Comber nikatoka nje ya ukumbi na kukaa karibu na ukumbi ili ikitokea shida waniite ili niwasaidie. Saa moja lilipita kimya, baadae naenda kuuliza hakuna mtu.

Mkimuona please call me 0713-302 950.

...pole sana mkuu! Utapeli kila sehemu' itatubidi tuanzishe huduma za ubao wa matangazo — bulletin board system, ili kuwatambua ki-urahisi...!
 
Team majungu At Work

Hapana, hii ni Kweli kabisa kaka, RB ni KW/RB/12277/2013 (KUJIPATIA MALI KWA NJIA YA UDANGANYIFU), SIO MAJUNGU, HII PICHA NDO NILOIPATA SO KAMA UKIMUONA HATA HUYO DEMU NITONYE MAANA ATASAIDIA KUPATIKANA JAMAA
 
Back
Top Bottom