Mwalimumkweli
New Member
- Nov 26, 2014
- 3
- 1
Leo asubuhi Maliki Faraji - ndio - tapeli hapa mjini; aliaibika kwa Mara Nyingine tena pale gari alilolitapeli kwa jamaa mmoja liliponyang'anywa na polisi. Polisi walimshtukia kwake Leo saa Kumi na mbili alfajiri na kuchukua gari pia. Mke wake- celebrity Kiki Zimba alikuwa akitanua mjini na gari moja jeupe aina ya BMW x5 - Kumbe ni Mali ya wizi. Jamaa aliyetapeliwa hakujua kuwa Maliki ameweza kufoji TRA documents lakini polisi wamegundua yote!
Mara ya kwanza Kiki alikamatwa na kunyang'anywa funguo za gari hilo huku akiwa na shoga yake- akalia na kuhaha kwa aibu. Polisi wameniarifu kuwa Malik katapeli Magari sana na yote kayatanulia sana na kutengeneza fake documents.
Sasa jamani ni kitu gani kinawafanya watu hawa kujidai kuishi maisha ya juu Wakati Hawana uwezo?? Kwani lazima jamani maisha ya juu kama uwezo Huna???- nimesikia Maliki amekuwa akisaidiwa na familia yake kutapeli - katapeli kuku za Brazil, magari kibao, viwanja - familia yake inajulikana kwa utapeli wa madawa ya AIDS - jamani aibu gani hii??? Ptuuuu