Tapeli linalozungumza lugha nyingi polisi wanahusika.

Njee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
223
Reaction score
17
Wadau heshima kwenu.
Naomba niwarejeshe juu ya huyo jamaa alokuwa akisikika Radio clouds kuwa KAPIGWA 8mln. na pamoja na kumkamata polisi hawakumpa ushirikiano. NAMI PIA NILIMKAMATA lakini mwisho nikaachana nao ikaona nanawatengenezea ULAJI polisi. Miaka 2 iliyopita walinipigia simu kama kawaida yao akijifanya tunajuaana yeyealikuwa afisaugavi Naliendele mtr na anajua kwa vile mimi ni mzabuni na niliwahi kufanya bsn na taasisi hiyo na kwa aasa amepelekwa kambi ya wakimbizi kigoma na wamepewa mahindi ya msaada tn 18elf toka rais Kagame hivyo niwauzie hizo dawa za wadudu. KWA KIFUPI nilimstukia. aliponiambia dili hilo la mln 60 kwenye simu. bila kuonana nikachukua hatua ya kwenda polisi kati kutoa taarifa wakanambia eti nina bahati na uko makini wengi wamepigwa na jana yake mama mmoja kapigwa 9mln. Wakanionyesha chupa hizo walizoleta kumbe si dawa ya wadudu ni VINEGA sijui chachandu ya samaki. Nikawambia polisi kwavile huyo mtu ana namba zangu nipewe ushirikiano niwafuatolie nikapewa askari 2 tukaanza kazi saa 4 asb mpk tukakamata mmoja saa 8 mchn pale mwenge kituo cha mafuta tukamvua flan yake tukamfunga kichwani tukambana atupe mpango mzm akasema yeye hutumiwa kama mtu wa kujitoa muhanga kama alivyofanya mpango ukikamilika hupew 50,000 na mitungi kwa sana. Tukataka kujua mr Jensen yule mzungu wa oxford akasema yule ni MNYAKYUSA na Mr OMONDI. tukambana wapi walipo kwa sasa akasema maskani yao ipo mwananyamala komakoma pale kwenye jengo la ghorofa nyuma kuna bar maarufu. Tulipofika akiwapigia amekuja na mzg wanamwambia watusubiri wankuja mpk saa12jioni nikawaacha polisi kati wakimsurubu. kesho nikaja nikashangaa napigiwa simu na huyo mr Jensen kuwa NAPOTEZA MUDA WANGU BURE KUKOMALIA MTUHUMIWA watamtoa kwani polisi ndo mpango mzima najisumbua kwani wao hawatumii BUNDUKI wanatumia bongo kazi yao nikukomesha watu wenye tamaa ya utajiri wa haraka, KUBWA KULIKO wliponambia HATA AFANDE KOVA anajua sisi siyo MAJAMBAZI tunachofanya ukijilegeza tunakutumbua Na utachanganyikiwa mpk ukiona watu wanakunyw bia utaju peaa yako. NARUDIA TENA POLISI NI WATU WAO. WANAWAITA AUNT VIRUS wa jiji.jina huyo tapeli ni mwasu.... na kundi lake.
 
hiyo ya redio mawingu inahuzisha sana na yako pia.KWA KIFUPI HAKUNA HAKI TANZANIA HAKI INAENDA KWA WENYE PESA.
 
Ndo ilivyo iko siku ukweli utapikana maana jamaa anajiamini si mchezo
 
wizi ni mwingi,kuna wale jamaa waopanga tv na redio,wakichezesha bahati nasibu,wale ni wezi.
 
Wadau heshima kwenu.
Naomba niwarejeshe juu ya huyo jamaa alokuwa akisikika Radio clouds kuwa KAPIGWA 8mln. na pamoja na kumkamata polisi hawakumpa ushirikiano. NAMI PIA NILIMKAMATA lakini mwisho nikaachana nao ikaona nanawatengenezea ULAJI polisi. Miaka 2 iliyopita walinipigia simu kama kawaida yao akijifanya tunajuaana yeyealikuwa afisaugavi Naliendele mtr na anajua kwa vile mimi ni mzabuni na niliwahi kufanya bsn na taasisi hiyo na kwa aasa amepelekwa kambi ya wakimbizi kigoma na wamepewa mahindi ya msaada tn 18elf toka rais Kagame hivyo niwauzie hizo dawa za wadudu. KWA KIFUPI nilimstukia. aliponiambia dili hilo la mln 60 kwenye simu. bila kuonana nikachukua hatua ya kwenda polisi kati kutoa taarifa wakanambia eti nina bahati na uko makini wengi wamepigwa na jana yake mama mmoja kapigwa 9mln. Wakanionyesha chupa hizo walizoleta kumbe si dawa ya wadudu ni VINEGA sijui chachandu ya samaki. Nikawambia polisi kwavile huyo mtu ana namba zangu nipewe ushirikiano niwafuatolie nikapewa askari 2 tukaanza kazi saa 4 asb mpk tukakamata mmoja saa 8 mchn pale mwenge kituo cha mafuta tukamvua flan yake tukamfunga kichwani tukambana atupe mpango mzm akasema yeye hutumiwa kama mtu wa kujitoa muhanga kama alivyofanya mpango ukikamilika hupew 50,000 na mitungi kwa sana. Tukataka kujua mr Jensen yule mzungu wa oxford akasema yule ni MNYAKYUSA na Mr OMONDI. tukambana wapi walipo kwa sasa akasema maskani yao ipo mwananyamala komakoma pale kwenye jengo la ghorofa nyuma kuna bar maarufu. Tulipofika akiwapigia amekuja na mzg wanamwambia watusubiri wankuja mpk saa12jioni nikawaacha polisi kati wakimsurubu. kesho nikaja nikashangaa napigiwa simu na huyo mr Jensen kuwa NAPOTEZA MUDA WANGU BURE KUKOMALIA MTUHUMIWA watamtoa kwani polisi ndo mpango mzima najisumbua kwani wao hawatumii BUNDUKI wanatumia bongo kazi yao nikukomesha watu wenye tamaa ya utajiri wa haraka, KUBWA KULIKO wliponambia HATA AFANDE KOVA anajua sisi siyo MAJAMBAZI tunachofanya ukijilegeza tunakutumbua Na utachanganyikiwa mpk ukiona watu wanakunyw bia utaju peaa yako. NARUDIA TENA POLISI NI WATU WAO. WANAWAITA AUNT VIRUS wa jiji.jina huyo tapeli ni mwasu.... na kundi lake.

hawa ndugu zetu sio walinzi ni wezi.
 
Polisi wa Tanzania wanahongeka kwa bei ndogo sana, majambazi wanalijua hili. Na polisi wanahusika kwenye kila uhalifu unaofanyika
 
Iliyobaki ni kuchukua Sheria mkononi tu, mabo ya Siasa tupa kule!
 
Ni kweli Bujibuji sasa kaka tufanyeje hali ndo hii mimi nimenusulika msomi wa moro ndo kapigwa m.8 je atatoka mtu hapo? Nashauri mkuu tuendelee kujadili watu waelewe jamaa hatari TUTAMNYONGAJE AKIPATIKANA?
 
Ndiyo maana watu wanashabikia zirail afanye kazi yake haraka kule aga khan! Watu wamechoka, kwa hiyo upendo tena moyoni haupo!
 
cacico, nimetafakari naungana nawe muda si mrefu nami nitaanza KUPIGA NENO mpk isilaeli asikie kilio chetu.
 
Hapana hilo la kumuombea kifo mtu kwavile tu unadhan hatimiz wajibu wake vyema halikubaliki.japo kwakweli polisi imeoza.,
 
Kwa hakika wanakula nao polissm sahani moja!!! Ukiona eti wamemkamata jua kuwa deal hazikuenda sawa!! Majambazi na ujambazi unaotendeka mkubwa polissm kwa asilimia kubwa wanajua wahusika!! Ngoka kibaka akwapue simu, atapigwa hadi mauti akiwa mahabusu!! Mbona hatujawahi kusikia jambazi kubwa limefia mahabusu?
 
Ndiyo maana watu wanashabikia zirail afanye kazi yake haraka kule aga khan! Watu wamechoka, kwa hiyo upendo tena moyoni haupo!
Hivi lakini mkuu cacico ni lini huyu Zirail atatimiza ndoto zetu!! Nasubiria wapi?
 
Alikuwa na bastola huyo msomi wa moro nashangaa alimuachia sababu gani?angempa hata ya mguu atampunguza kasi...kwa muda fulani ,anampeleka hana hata jeraha?ona sasa amegeuza mchezo jamaa anaonekana anamuonea!!!
 
Wadau heshima kwenu.
Naomba niwarejeshe juu ya huyo jamaa alokuwa akisikika Radio clouds kuwa KAPIGWA 8mln. na pamoja na kumkamata polisi hawakumpa ushirikiano. NAMI PIA NILIMKAMATA lakini mwisho nikaachana nao ikaona nanawatengenezea ULAJI polisi. Miaka 2 iliyopita walinipigia simu kama kawaida yao akijifanya tunajuaana yeyealikuwa afisaugavi Naliendele mtr na anajua kwa vile mimi ni mzabuni na niliwahi kufanya bsn na taasisi hiyo na kwa aasa amepelekwa kambi ya wakimbizi kigoma na wamepewa mahindi ya msaada tn 18elf toka rais Kagame hivyo niwauzie hizo dawa za wadudu. KWA KIFUPI nilimstukia. aliponiambia dili hilo la mln 60 kwenye simu. bila kuonana nikachukua hatua ya kwenda polisi kati kutoa taarifa wakanambia eti nina bahati na uko makini wengi wamepigwa na jana yake mama mmoja kapigwa 9mln. Wakanionyesha chupa hizo walizoleta kumbe si dawa ya wadudu ni VINEGA sijui chachandu ya samaki. Nikawambia polisi kwavile huyo mtu ana namba zangu nipewe ushirikiano niwafuatolie nikapewa askari 2 tukaanza kazi saa 4 asb mpk tukakamata mmoja saa 8 mchn pale mwenge kituo cha mafuta tukamvua flan yake tukamfunga kichwani tukambana atupe mpango mzm akasema yeye hutumiwa kama mtu wa kujitoa muhanga kama alivyofanya mpango ukikamilika hupew 50,000 na mitungi kwa sana. Tukataka kujua mr Jensen yule mzungu wa oxford akasema yule ni MNYAKYUSA na Mr OMONDI. tukambana wapi walipo kwa sasa akasema maskani yao ipo mwananyamala komakoma pale kwenye jengo la ghorofa nyuma kuna bar maarufu. Tulipofika akiwapigia amekuja na mzg wanamwambia watusubiri wankuja mpk saa12jioni nikawaacha polisi kati wakimsurubu. kesho nikaja nikashangaa napigiwa simu na huyo mr Jensen kuwa NAPOTEZA MUDA WANGU BURE KUKOMALIA MTUHUMIWA watamtoa kwani polisi ndo mpango mzima najisumbua kwani wao hawatumii BUNDUKI wanatumia bongo kazi yao nikukomesha watu wenye tamaa ya utajiri wa haraka, KUBWA KULIKO wliponambia HATA AFANDE KOVA anajua sisi siyo MAJAMBAZI tunachofanya ukijilegeza tunakutumbua Na utachanganyikiwa mpk ukiona watu wanakunyw bia utaju peaa yako. NARUDIA TENA POLISI NI WATU WAO. WANAWAITA AUNT VIRUS wa jiji.jina huyo tapeli ni mwasu.... na kundi lake.

Yaani leo asubuhi imemtokea bro wangu lakini kwa bahati jamaa walishindwa. Kiukweli bro aliamini, lakini uzuri wa jambo alikua hana senti ata ya nauli, mzungu amemwambia aende zanzibar atampa 300USD lakini ampelekee na dumu 1 la iyo dawa aone kwanza. Sasa bro akamwambia yule middleman aliemuunganisha na mzungu kuwa hana nauli, kwaiyo amtumie laki 1 kisha akienda zenji akirudi atampa 100USD ya kumlipa. Matokeo yake jamaa hawakumpigia tena simu!

Sasa ili kuepuka kutapeliwa, wakikupigia simu wakitaka izo dawa, waambie wewe unazo, watajie bei ya ajabu, kisha tizama kama watakupigia tena!
 
Chilubi nasemaje wala usihangaike nao utapoteza muda wako bure ni wajanja sana. Halafu sijui huwa wanasahau washanipigia kunambia upuuzi wao karibu mara 5 ninachofanya huwa nawatukania wazazi wao na kuwambia wabadilishe singo nyingine hii imechuja. Hudai eti tulisha KUTUMBUA. nini? Nikimkamata huyo MWASU nitafanya nae mapenzi hadharani we ngoja tu.
 
Back
Top Bottom