Tapeli linalozungumza lugha nyingi polisi wanahusika.

Tapeli linalozungumza lugha nyingi polisi wanahusika.

Tupunguze tamaa ya utajiri wa haraka haraka.wanaotapeliwa wooote Ni tamaa zinawaponza
 
Ni kweli watu wakitaka kutoa kipigo polisi wanamaind

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
ha ha ha ha lakin kwa upande mwingine naona ni sawa kuliko kushika bunduki na kuua mtu kwa sababu ya pesa lakini unapewa dili unawaka nayo unachukua pesa zako kama mimi nilivyo pewa hiyo dili nikatamaki nimeuziwa dawa ya chanjo ya samakii nikawapa pesa zangu laki saba na tisini kwa njia ya m pesa nilivyo gundua kuwa nimetapeliwa nilicheka sana uku nasubiri chanjo ya samaki eti gari yao ya mradi inaniletea mpaka leo nasubiri ije cha msingi hapa ni kuwa mjanja na kuwaepuka watu wanaopiga simu wanajidai wanakufahamu wakati ni uongo ni hatari sana
 
Polisi wa Tanzania wanahongeka kwa bei ndogo sana, majambazi wanalijua hili. Na polisi wanahusika kwenye kila uhalifu unaofanyika

Bujibuji kwa asilimia kubwa nakubaliana na wewe,Lakini chanzo cha yote hayo ni Serikali.Huwezi kumpa Mtu Mshahara wa 180,000/=kwa Mwezi halafu Umkabidhi Bunduki utegemee Usalama.Huyu Askari ana Mke na Watoto wanne wanaosoma.Kwa Maisha ya DSM huu Mshahara hautoshi hata Wiki Moja.Wiki zingine Tatu ataishije?Sidhani kama huyu Askari atalala Kitandani na Watoto wake asubiri Kifo.Dawa hapa kwanza ni kuibana Serikali ili iboreshe kipato chao then tupambane na walarushwa za Tamaa.Tofauti na hilo tutafanya kazi ya kukemea Mfupa.
 
Kwa hakika wanakula nao polissm sahani moja!!! Ukiona eti wamemkamata jua kuwa deal hazikuenda sawa!! Majambazi na ujambazi unaotendeka mkubwa polissm kwa asilimia kubwa wanajua wahusika!! Ngoka kibaka akwapue simu, atapigwa hadi mauti akiwa mahabusu!! Mbona hatujawahi kusikia jambazi kubwa limefia mahabusu?

Nakumbuka kuna wakati tulilazimishwa kusajili namba zetu za simu na vitisho juu!, tukaambiwa faida moja wapo ni ya kupambana na kadhia kama hizo lakini mpaka sasa sijelewa faida ya lile zoezi kwa sisi wananchi wa kawaida, vinginevyo tunaweza jenga imani wamba matapeli hao wana shirikiana na hayo makampuni ya simu.
 
Wanajamvi nimefurahi kwa mrejesho wenu mnaochangia kwa hii mada yangu. Nimefarijika sana michango yenu na suruhisho la hii kadhia. Tueendelee na moyo huu tupo pamoja kwe jema. Heshima kwenu
 
Bujibuji kwa asilimia kubwa nakubaliana na wewe,Lakini chanzo cha yote hayo ni Serikali.Huwezi kumpa Mtu Mshahara wa 180,000/=kwa Mwezi halafu Umkabidhi Bunduki utegemee Usalama.Huyu Askari ana Mke na Watoto wanne wanaosoma.Kwa Maisha ya DSM huu Mshahara hautoshi hata Wiki Moja.Wiki zingine Tatu ataishije?Sidhani kama huyu Askari atalala Kitandani na Watoto wake asubiri Kifo.Dawa hapa kwanza ni kuibana Serikali ili iboreshe kipato chao then tupambane na walarushwa za Tamaa.Tofauti na hilo tutafanya kazi ya kukemea Mfupa.

Hayo si maneno bana ! Kwani kuna aliye lazishwa !? Wacha kuendeza ujinga
 
Mkuu, publish majina yao na namba za simu zao!! Kwa nini unaogopa?
 
Police wao waendelee kuwalea iko siku wanaotapeliwa watachoka na kuamua kufanya maamuzi yao wanayojua wao na hapo ndipo police wataunda tume ya uchunguzi..
 
Juzi tu mimi nimewasiliana na mmoja.Hajapata kitu bali yeye ndio anafuatiliwa.Namba ninayo ila kwa sababu za ki upelelezi sitoitaja kwa sasa. Ikifika muda nitaiweka hapa ma kisa nitakitoa hapa. Namba yake hiyo haijasajiliwa na haina jina lolote. Why this?. Wengi wanatumia namba ambazo hazijasajiliwa. Je wanashirikiana na makampuni ya simu?. Hakuna jinsi namba isiyosajilowa isiweze kutumika kabisa?.TCRA sijui wanafanya kazi gani na mishahara itokanayo na kodi zetu wanakula!.
 
Chilubi nasemaje wala usihangaike nao utapoteza muda wako bure ni wajanja sana. Halafu sijui huwa wanasahau washanipigia kunambia upuuzi wao karibu mara 5 ninachofanya huwa nawatukania wazazi wao na kuwambia wabadilishe singo nyingine hii imechuja. Hudai eti tulisha KUTUMBUA. nini? Nikimkamata huyo MWASU nitafanya nae mapenzi hadharani we ngoja tu.
upumzike kwa amani mkuu
 
Back
Top Bottom