Hapa ndio umuhimu wa kusave namba kwenye account ya google unapoonekana.Pole sana mkuu
Hatua ya kuchukua ni kama ingewezekana kupata contacts zote za kwenye simu iliyoibiwa na kuandika sms moja ya kuwaonya kuhusu huyo mwizi na kuiforwad kwa hizo contacts zote
Hapa ndio umuhimu wa kusave namba kwenye account ya google unapoonekana.
Utaingia google na kulog in, then unaenda kwenye contacts unakuta namba zote ukizosave. Angeokoa watu kwa mtindo huó.
Pia amtafute mtu ambaye wapo group moja la WhatsApp na mkewe ampe taarifa awajulishe watu kwenye group na taarifa itasambaa na wengine watajua
Umesema kweli. Bado narudia tena. Tatizo ni lile lile. Watanzania wengi hawako makini kabisa. Hili ni kwa mambo yote wanayofanya kila siku. Kuanzia kuandika mpaka kufanya kazi. Sim card yoyote inakuwa na pin number. Ukizima simu wakati wa kuwasha ni lazima ikuambia uingize pin number na ukikosea mara tatu ina-block. Vile vile simu zinakuwa na password. Mwizi akiiba simu yako kama ina passcode atapata shida kuona contacts bila kutumia muda na utaalam. Tena simu kama Iphone ndiyo kabisa bila kujua passcode simu ni kama haina kazi.Wewe ndo ujitahidi kusoma uelewe.
Kama ange activate security features ZA simu/simcard yake huyo mwizi angewezaje kupata contacts za kwenye simu/simcard iliyoibwa.!?
Kwa maelezo yako inaonekana mtuhumiwa wa kwanza ni wewe.Habari za leo ninatumai ni wazima wa afya na mnaendelea na jukumu la kujenga taifa letu. si mweledi sana wa kuandika ila leo nimekuja na hili lililonitokea.
Kiufupi ni kwamba mke wangu ameibiwa simu yake ya android nyumbani kwake mchana kweupe sitoeleza stori yote ila baada ya tapeli huyokufanikiwa kuiba hio simu anatumia namba zake nyengine kwa kuwapigia contacts za mke wangu zilizokuwemo kwenye simu yake na kujifanya kama yeye ndio mimi (mume) na kuanza kuwatapeli watu. baya zaid wengine amewapata kwa sababu hawanijui mimi na hhawajawasiliana kitambo na mke wangu.
Nilitaka jambo hili lipite hivi hivi ila tatizo bado anaendelea kuwapigia simu contacts zilizokuemo ndani ya simu na kuanza kuwalaghai. line zilizokuemo kwenye simu iliobiwa tayari tumesharenew. Je, tuchukue hatua gani na ipo namna yeyote ya kuweza kumjua huyu tapeli.
simu za android zinakuwa connected na gmail. kama vipi iformat hiyo simu ila linawezekana tu iwapo ataiunga na internet kama ulishacommand iformat itaformat simu yakoHabari za leo ninatumai ni wazima wa afya na mnaendelea na jukumu la kujenga taifa letu. si mweledi sana wa kuandika ila leo nimekuja na hili lililonitokea.