TanzMED mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TanzMED mpya

Discussion in 'JF Doctor' started by Kilongwe, May 29, 2011.

 1. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Timu nzima ya TanzMED inayofuraha kukutaaribu kuwa tumekamilisha uboreshaji wa tovuti mpya ya TanzMED.

  Kwenye tovuti hii mpya mambo mengi mno yamezingatiwa ambayo yataleta mageuzi makubwa kwenye ulimwengu wa afya kwa Tanzania.


  Tupo kwenye majaribio ya wiki mbili,tembelea http://new.tanzmed.com na jiunge kwa kutembelea Jiunge na TanzMED

  Maoni,ushauri,mapendekezo na mengineyo yanakaribishwa kwani sasa tupo kwenye majaribio.


  Admin - TanzMED Group
   
Loading...