Tanzia

Tanzia

bysange

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
4,456
Reaction score
1,565
Bila shaka hamjambo wanajamvi wote,kwa wale ambao wanaumwa nawaombea afya njema kwa Mungu.
Ndugu zanguni wanajamvi nilifiwa juzi 15/01/2014,na mtoto wangu ambaye alifariki muda mfupi baada ya kuzaliwa,tumemzika 16/01/2014.
Innalillah wainna illah rajjiun
 
Pole sana mkuu. Mungu awarehemu marehemu wote
 
pole best kwa kuondokewa na mtoto wakko Mungu atakupa mwingine na afanyike faraja kwako
Bila shaka hamjambo wanajamvi wote,kwa wale ambao wanaumwa nawaombea afya njema kwa Mungu.
Ndugu zanguni wanajamvi nilifiwa juzi 15/01/2014,na mtoto wangu ambaye alifariki muda mfupi baada ya kuzaliwa,tumemzika 16/01/2014.
Innalillah wainna illah rajjiun
 
Bila shaka hamjambo wanajamvi wote,kwa wale ambao wanaumwa nawaombea afya njema kwa Mungu.
Ndugu zanguni wanajamvi nilifiwa juzi 15/01/2014,na mtoto wangu ambaye alifariki muda mfupi baada ya kuzaliwa,tumemzika 16/01/2014.
Pole sana mkuu wangu,MUNGU wa mbinguni kwa jina la Yesu akutie nguvu.

Innalillah wainna illah rajjiun
Hizi lugha za kiarabu za nini,kwani Mungu ni mwarabu,hasikii Kiswahili?
 
bila shaka hamjambo wanajamvi wote,kwa wale ambao wanaumwa nawaombea afya njema kwa mungu.
Ndugu zanguni wanajamvi nilifiwa juzi 15/01/2014,na mtoto wangu ambaye alifariki muda mfupi baada ya kuzaliwa,tumemzika 16/01/2014.
Innalillah wainna illah rajjiun

pole sana mkuu bysange.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu, mimi wife kipindi anajifungua miguu yangu yote ilikuwa inatetemeka tu
 
Last edited by a moderator:
Pole sana bysange mungu amipe moyo wa subira.
 
Last edited by a moderator:
pole sana mkuu
Mungu akupeni faraja wewe na mkeo
 
pole....mungu awape nguvu wewe na mwenzio mpate mapacha kufidia inshaalllah....
 
Mungu akufanyie wepesi katika wakati huu mgumu. Polee sana
 
Mtumaini MUNGU kwa kila jambo na yeye ndie mpangaji wa yote humu duniani, poleni sana kwa msiba. Kumbuka MUNGU hatowaacha mkimtegemea
 
pole....mungu awape nguvu wewe na mwenzio mpate mapacha kufidia inshaalllah....

Mimi si wa upande wako lakini nafikiri neno "inshaalllah" linakosewa kuandikwa! Ninafikiri lingeandikwa "in sha alllah" yaani neno Allah (Mungu) nalo liwe linaonekana. Samahani kwa usumbufu na ni ninawapa pole wafiwa kwa kuondokewa na matarajio yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom