Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,942
- 105,395
Hahahahaaaa! Kama wananzengo wenzie wanasoma maoni haya wataichukia JF balaa!Mibunduki haikumpa kampani kupambana na mtoa roho?
Au aliishiwa milipuko!!?
Hahahahaaaa! Kama wananzengo wenzie wanasoma maoni haya wataichukia JF balaa!Mibunduki haikumpa kampani kupambana na mtoa roho?
Au aliishiwa milipuko!!?
Duuh jamaa alikua anaharaka balaahuyu OCD wa kibindo amefaruki lini wapi huko?
Cjawahi kuwasikiikia hawa watu cjui kwanini !! Anyway Rip akwilinaHawa watu madaraka yanawalewesha wanajisahau kuwa na wao ni binadamu tu. cc. jpm
mm polisi hata wakifa 1000 kwa wakati mmoja poa tu. i hate themOCD WA wilaya ya kibindo mkoa kigoma amefaruki dunia Mungu alitoa mungu ametwaa amina ,nitamkumbuka alipo kataa kutoa ushilikiano wakati mwenykit wa halimashaur kibondo alipo kamatwa na wasio julikana na kupotezwa mazima
Sent using Jamii Forums mobile app